Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

Saa kumi na mbili kasoro,

Wasira yupo kwa mangura,
Rais mwinyi yupo anamzika msanii onyango.
Kenani kihongosi anatangazia UMMA yakuwa vyanzo vya TAARIFA vya kuaminika vinasema CHADEMA inapanga vuruguuuuuuu! 🙏😂🤣🤠🤠🤠🤠🤠
 
CCM kila wakipiga picha wanaona Mhhhhh!!! huu mziki wa CHADEMA unakuwa mnene kilasiku.
Dawa ni kuwazuia tena wasifanye siasa Kwa mwaka mmoja tena, alafu wananchi nao wamekuwa wajanja hawaendi kwenye mikutano ya CCM Hadi wapewe 10,000 wakati wenzao CHADEMA wakifanya mikutano chama kinaingiza pesa nyingi za tone-tone
 
Chama ambacho Mwenyekiti wake yuko ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja, hakina mbunge, diwani, Mwenyekiti wa kijiji na hakipati hata senti moja ya ruzuku lakini kinamsumbua huyu kiongozi wa chama tawala! Kwa nini anakihofia kiasi hicho?

Amandla...
Chama ambacho kilishakufa hakiwezi kuwa tishio...
 
Back
Top Bottom