Kihongosi: CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026

"Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa na remoti. Yaani anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya Heche. Anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya yule nani yule? Huyu nani huyu? Eeh, huyo Sugu sijui. Anachochote wanachosema wale wanaharakati, ndio hao viongozi wametekwa humo, wanayafanya hayo mambo. Sasa hiki sio chama cha siasa, ni kigenge na kikundi ambacho kimepoteza focus."

"Mimi niwaombe ndugu zetu wa CHADEMA warudi kufanya siasa za kistaarabu. Tunapenda ushindani ambao una tija, tusifanye ushindani ambao hauna tija. Lakini tufanye ushindani wa kuijenga nchi sio kuibomoa nchi, tufanye ushindani wa kuunganisha Watanzania sio kuwatenga Watanzania. Lakini tusitumie harakati kuharibu nchi alafu tutumie fursa hiyo kujijenga kisiasa. Hiyo ni dhambi na sio jambo zuri. Kwa hiyo wenzetu..."

Pia soma: GE2025 - Kihongosi: Tusikubali siasa za kuhatarisha amani na kutugawa, Oktoba 29 twende tukatiki kwa CCM
 
Unatenganisha vipi siasa na harakati?

Anataka wafanye siasa za kuimbiana taarabu na chama amabacho kiko tayari kuua kuteka na kupoteza watu ili kiendelee kusalia madarakani?
 
Kihongosi "CHADEMA kimetoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati"
1000441511.jpg
 
CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026

"Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa na remoti. Yaani anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya Heche. Anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya yule nani yule? Huyu nani huyu? Eeh, huyo Sugu sijui. Anachochote wanachosema wale wanaharakati, ndio hao viongozi wametekwa humo, wanayafanya hayo mambo. Sasa hiki sio chama cha siasa, ni kigenge na kikundi ambacho kimepoteza focus."

"Mimi niwaombe ndugu zetu wa CHADEMA warudi kufanya siasa za kistaarabu. Tunapenda ushindani ambao una tija, tusifanye ushindani ambao hauna tija. Lakini tufanye ushindani wa kuijenga nchi sio kuibomoa nchi, tufanye ushindani wa kuunganisha Watanzania sio kuwatenga Watanzania. Lakini tusitumie harakati kuharibu nchi alafu tutumie fursa hiyo kujijenga kisiasa. Hiyo ni dhambi na sio jambo zuri. Kwa hiyo wenzetu..."

Pia soma: GE2025 - Kihongosi: Tusikubali siasa za kuhatarisha amani na kutugawa, Oktoba 29 twende tukatiki kwa CCM
Kama huyu ndio mwenezi wa chama,ccm watafute mtu mwingine, hii ni kitu gani anaongea hapa
 
Sasa wanafanya harakati hizo ili wajijenge kisiasa kivipi wakati umeshasema wamepoteza dira na kutoka kuwa chama cha siasa, anaji-contradict mwenyewe.
Vipi akiachana na CHADEMA ambacho kwa kauli yake it translates kwamba kimejipoteza aanze kuwa busy na opposition parties zenye wawakilishi bungeni (ACT na CHAUMA), anahangaika na chama anachodai chenyewe kimejipoza na kugeuka kuwa kikundi cha wanaharakati.
He should visit a psychiatrist.
 
CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026

"Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa na remoti. Yaani anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya Heche. Anachokisema Maria Sarungi ndio anachokifanya yule nani yule? Huyu nani huyu? Eeh, huyo Sugu sijui. Anachochote wanachosema wale wanaharakati, ndio hao viongozi wametekwa humo, wanayafanya hayo mambo. Sasa hiki sio chama cha siasa, ni kigenge na kikundi ambacho kimepoteza focus."

"Mimi niwaombe ndugu zetu wa CHADEMA warudi kufanya siasa za kistaarabu. Tunapenda ushindani ambao una tija, tusifanye ushindani ambao hauna tija. Lakini tufanye ushindani wa kuijenga nchi sio kuibomoa nchi, tufanye ushindani wa kuunganisha Watanzania sio kuwatenga Watanzania. Lakini tusitumie harakati kuharibu nchi alafu tutumie fursa hiyo kujijenga kisiasa. Hiyo ni dhambi na sio jambo zuri. Kwa hiyo wenzetu..."

Pia soma: GE2025 - Kihongosi: Tusikubali siasa za kuhatarisha amani na kutugawa, Oktoba 29 twende tukatiki kwa CCM

SIjui kwa nini CCM huwa inawatafuta watu wenye akili ndogo kuwafanya ndiyo viongozi wa chama, ndiyo maana chama kinazidi kupoteza umuhimu kwa wananchi.
 
Kimekuwa chama kidogo badala ya kueleza wanatatua au so far wametatua changamoto gani kama wao ndio wenye serikali.

Mnashindwa kutatua changamoto za wananchi mnatafuta chokochoko kuangushia watu jumba bovu.
 
Kuna chama kingine kimetoka kuwa cha siasa kimeamua kuwa taasisi ya kihalifu🐼
 
Back
Top Bottom