Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuwachukulia hatua viongozi watakaokuwa na tamaa za rushwa na itasimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM Uchaguzi 2025-2030 akidai vyote ambavyo waliahidi watanzania vitatekelezwa