Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia.
Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele?
Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao?
Wewe unaona ni suala dogo?
Leo hii akifa askari yoyote Wananchi wanashangilia. Hii ni picha mbaya sana. Maana chama chako ndio kimeshindwa kusimamia haki.