#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano


Sawa mkuu, pamoja na hayo yalopita si ndwele na hatuwezi kuishi vilevile kwa misingi ya awali. Issue sio Polepole na huyo Kijana ila issue inakua usiposapoti mawazo ya hasa Mwenyekiti basi unaonekana wewe ni mjuaji. Sio sahihi wataleta mpasuko hawa viongozi wetu. Ni muhimu kupishana na kukinzana Lakini kwa Heshima, Upendo na Kulinda Maadili
 
Huyo jamaa naye zoba tu.

Mzee Warioba amejitokeza na kuweka misimamo Yake kuhusu Katiba mpya ambayo inakinzana na ya huyo Mama yake ila hajaibuka na tamko lolote.

Kutaka watu wote wakubaliane na mama yake hata Kwa mambo ya hiari ni upumbavu.
 

Mkuu una busara sana, lakini kwa taarifa yako wakishapata madaraka hawajali huo utu wala upendo. Hivyo acha wafanyiziwe tu.
 
Jiwe si alikua anawatisha ndio maana sasa nafikiri Uhuru hautaki we uitaki chanjo sema na familia yako.
 
Hivi huyo Kihongosi ndio msemaji wa chama cha kijani siku hizi?
Huyu jamaa Magufuli alimtoa jalalani tu huko Iringa.
Cheo na vihelahela vimemvuruga sana,anasema tu kila mtu Sasa.
 
I ngekuwa hivyo wanaokataa chanjo wasingeonekana ni wapinzani. Liko tatizo tena kubwa pahala.

Ni tatizo la baadhi ya watu wanaojiona kwamba they’re absolutely right and others are absolutely wrong.

Hata katika imani za kidini mambo yako hivyo hivyo. Wapo waislam wanaoamini kwamba ukristo sio njia sahihi ya kumuabudu Mungu. Similarly, wapo wakristo wanaoamini kuwa uislam sio njia sahihi ya kumuabudu Mungu. Kimsingi, hao wanapingana kwa nia njema. Lengo lao ni lilelile moja la kumcha na kumuabudu Mungu the right way ili hatimaye wapate kibali cha kuingia mbinguni.
 
Amepinga serikali kwa lipi? mwili na afya ya mtu inamuhusu Rais? mbona watu wanaugua magonjwa mengi wanashindwa gharama za matibabu mbona hawasaidiwi na huyo Rais? Viongozi wote wa awamu ya SITA ni vigeugeu (Vinyonga).
Wakati wa awamu ya tano VP(sasa Rais ) hakuwahi kuunga chanjo ..... Ilikuwa "NYUNGU"
Uhuru wa mtu wa kutoa maoni lazima uheshimiwe. Kama unahaki ya kushawishi watu wakachanjwe na mwezio (Mh. Polepole, Mh. Gwajima na watanzania wengine wanaona Chanjo sio salama wanahaki hiyo ya kutochanja. Soma professorial rubbish report On COVID-19.
 
🤣🤣🤣🤸🤸🤸
 
Hivi sasa hivi kupingana na mawazo au na mitazamo ya walio wengi ni makosa? Duuh.
Mbona awamu ya tano mlikua hampingani mawazo na mitazamo ? Na ikitokea unapinga mawazo na mitazamo inakula kwako as soon as possible 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni falsafa ya ccm, mawazo tofauti unakuwa adui. Hayo ni maoni yake kuhusu chanjo,hakuna haja ya kumkaripia na maonyo yenye vitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…