Kihongosi: Ukienda kwenye Maandamano unarudi na Shilingi Ngapi? Kuna pesa umeingiza?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.

Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama

"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"

Hao walioko hapo kwenye huo mkutano wake wanarudi na shilingi ngapingapi nyumbani?
 
SEMA kabisa bwana kihongosi hapo wahuzuliaji wamepata ngapi ngapi kuja kukenua meno hapo?
 
Hivi hawa si ndiyo walisema waandamanaji walilipwa? Leo wanaenda kukejeli haso zao.

Kwenye vikao vyetu wanaume huwa tunakumbushana usihesabu mfuko wa mwanaume mwenzio
 
Mawazo ya kijinga hana tofati na anayesema katiba haikuletei chakula au anayesema katiba ni kijitabu wakati yupo pale kwa hichohicho kijitabu.
Kuna wakati nawaza mtu aliyeapa kuilinda na KUIHESHIMU Katiba anapotoa kauli ya kuikejeli Katiba hiyo hiyo, kisheria inakuwaje? Au ndiyo yale mambo ya kinga ya kutoshitakiwa hata afanye nini?
 
Kweli unatuletea habari za Kihongosi.

Kuna watu wamelaaniwa.
Hawana akili kabisa.
 
Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.

Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama

"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"

Pamoja na kuzungumza haya yote lakini tarehe zikikaribia chupi zinawabana. Mara taarifa za kijinsia, mara wanaharakati, mara sijui ujingaa Gani? Mbona hajawambia wasije kwenye mipasho yake Ili wazalishe hizo mali?
Pumbavu
 
Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.

Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama

"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"

Kwani ukitekwa unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom