pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 464
- 271
Double portions
Alokuwa akiongea nao ni watoto au watu wazima? au kakusanya wanafunzi? kwanini maandamano yapo kwenye katiba? dalili zinaonekana njema 29 tutokeni na hakuna kurudi hiyo hadi mtu atoke edaNdo mana kwenye kampeni hatuendi bila chochote kitu sisi watu wa rizki ndogondogo
Je hao waliokaenda kwenye mkutano wake waliingiza kiasi ganiKwani ukitekwa unapata faida gani?
Hatuendi kwenye maandamano kutafuta pesa, ni kutafuta mabadiriko ya uongozi huu wa ki jambazi, ili tujenge uchumi Bora tupate pesa,Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.
Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama
"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"
Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.

Hawa si ndo walisema Oct 29 watu waliandamana kwa kulipwa pesa.?!Anauliza swali gani sasa.Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.