Familia ndio inayoumia, huyu ni baba na mume wa mtu anafuatila trivial issuesHuyu nae ukimtazama unaweza sema mwanaume wa maana, kumbe ni bure kabisaa.
Mxxxiiiieeew.
Hasara tupu hii.Familia ndio inayoumia, huyu ni baba na mume wa mtu anafuatila trivial issues
Hao walioko hapo kwenye huo mkutano wake wanarudi na shilingi ngapingapi nyumbani?Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.
Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama
"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"
Alikuwa bodaboda.Na, bodaboda wengi ni wanywa visungura,wanyoa viduku,kuvaa sandals ndogo miguu mikubwa,kuishi maghetoni na kupiga sigara bwege.Ulitegemea nini hapo?Huyu nae ukimtazama unaweza sema mwanaume wa maana, kumbe ni bure kabisaa.
Mxxxiiiieeew.
Swali la msingi.Hao walioko hapo kwenye huo mkutano wake wanarudi na shilingi ngapingapi nyumbani?
Noma sana.Alikuwa bodaboda.Na, bodaboda wengi ni wanyoa viduku,kuvaa sandals ndogo miguu mikubwa,kuishi maghetoni na kupiga sigara bwege.Ulitegemea nini hapo?
SEMA kabisa bwana kihongosi hapo wahuzuliaji wamepata ngapi ngapi kuja kukenua meno hapo?Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.
Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama
"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"
Hahaaa 😂😂😂😂Hao walioko hapo kwenye huo mkutano wake wanarudi na shilingi ngapingapi nyumbani?
Walipandishwa malori kufika mkutanoni na kuandikishwa wapate vocha za kilimo mwezi wa kumi.Hahaaa 😂😂😂😂
Kuna wakati nawaza mtu aliyeapa kuilinda na KUIHESHIMU Katiba anapotoa kauli ya kuikejeli Katiba hiyo hiyo, kisheria inakuwaje? Au ndiyo yale mambo ya kinga ya kutoshitakiwa hata afanye nini?Mawazo ya kijinga hana tofati na anayesema katiba haikuletei chakula au anayesema katiba ni kijitabu wakati yupo pale kwa hichohicho kijitabu.
Pamoja na kuzungumza haya yote lakini tarehe zikikaribia chupi zinawabana. Mara taarifa za kijinsia, mara wanaharakati, mara sijui ujingaa Gani? Mbona hajawambia wasije kwenye mipasho yake Ili wazalishe hizo mali?Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.
Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama
"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"
Kwani ukitekwa unapata faida gani?Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, ikiwemo biashara, ujasiriamali na usafirishaji, akisisitiza umuhimu wa kulinda maisha na shughuli zinazowaingizia kipato.
Zaidi Soma: Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama
"Kwa hiyo ndugu zangu wa Ilala, Dar es Salaam, msikubali kuhamanishwa kwa maslahi ya watu. Wewe tujiulize kwenye maandamano ukienda unarudi na shilingi ngapi? Unaamka asubuhi unatoka hapa Kivule, unaenda mpaka kule wapi sijui, tuseme kule Gongolamboto. Unazurura tu makwapa juu, ehe ho ha ho ha he ha he, unarudi Kivule tena ya mguu na unanuka jasho"
Hilo neno la mwisho mnapenda kulitumia nyie mabinti wa Jf huwa lina maana gani?Huyu nae ukimtazama unaweza sema mwanaume wa maana, kumbe ni bure kabisaa.
Mxxxiiiieeew.