Kihongosi: Ukienda kwenye Maandamano unarudi na Shilingi Ngapi? Kuna pesa umeingiza?

Anatia hasira! Anaongea ujinga!! Kwamba nchi hii ndio iko perfect sana kiasi cha kutokuhitaji kusikiliza mahitaji ya raia wake? Hata mataifa makubwa yanaandamana nyie wa buzebazeba kwa ujeuri gani!! Mtu akaandamane na boda au bajaji yake kuwakusanyia wao kodi wakale, watu sasa hizi wana uelewa, tulishavuka huko!!
 
Kwa hiyo, walioenda kwenye huo mkutano wake kuna kitu wameingiza?....wamelipwa?
 
Ndo mana kwenye kampeni hatuendi bila chochote kitu sisi watu wa rizki ndogondogo
Alokuwa akiongea nao ni watoto au watu wazima? au kakusanya wanafunzi? kwanini maandamano yapo kwenye katiba? dalili zinaonekana njema 29 tutokeni na hakuna kurudi hiyo hadi mtu atoke eda
 
Hatuendi kwenye maandamano kutafuta pesa, ni kutafuta mabadiriko ya uongozi huu wa ki jambazi, ili tujenge uchumi Bora tupate pesa,
Hii kenge ubongo umeoza,
Anataka kutuaambia wale vijana wa South Afrika waliouwawa kwenye maandamano ya kupinga apartheid, walikufa kijinga kwa vile huko kwenye maandamano hakukuwa na, pesa, wangekaa nyumbani tu waache wazungu wa watawale kikatili!
Au wazee wao waliokimbia nchi wakaenda kupata mafunzo ya kijeshi Namibia, na mazimbu TZ, chini ya umkonto we sizwe,wasimgefanya vile wangebaki tu nyumbani, au Mandela, angekaa kimya tu asiandamane maana huko hakuna pesa, ataishia jera!
Ukiona mi ccm inaongea, unajiuliza, imeweka ni ni huko kwenye........ Yao
 
Tukifanikisha kyikomboa nchi kwenye maandamano lazima waranganyika tutakuwa mabilionea maana mifumo ya unyonyaji tutaiondoa yote.Maandamano yanafaida kubwa sana.
 

haw asi walituambia wanao andamana wanalipwa? au walikuwa wantuongopea
 
Hawa si ndo walisema Oct 29 watu waliandamana kwa kulipwa pesa.?!Anauliza swali gani sasa.
 
 

Attachments

  • 337.png
    658.2 KB · Views: 3
Kwani kibibi cha kizimkazi si huwa kinadai tunalipwa tukiandamana? Sasa anapingana na kibibi kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…