Kihwele finally on his way out

Kihwele finally on his way out

Mtoa hoja nadhani angalia vema hilo Tangazo. Tangazo la kazi halina age limit, na huyo anayeondoka ana sifa za kazi hiyo na akiomba atakuwa na nafasi kubwa ya kupata. Sasa inakuwaje unasema –anaondoka? Nahisi bado mapema kuhitimisha kama unlivyofanya-haya ni maoni yangu tu mkuu !
 
Thubutu!!!! Arudi ????? Kesha kula vya kutosha, AONDOKE TU
 
Back
Top Bottom