Bernard Rwebangira
R I P
- Feb 15, 2009
- 99
- 2
Sio TPB tu, TSN pia wanahitaji Mtendaji Mkuu, Bodi na watendaji wakuu kadhaa wa baadhi vitengo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa hoja nadhani angalia vema hilo Tangazo. Tangazo la kazi halina age limit, na huyo anayeondoka ana sifa za kazi hiyo na akiomba atakuwa na nafasi kubwa ya kupata. Sasa inakuwaje unasema anaondoka? Nahisi bado mapema kuhitimisha kama unlivyofanya-haya ni maoni yangu tu mkuu !