Mtoa hoja nadhani angalia vema hilo Tangazo. Tangazo la kazi halina age limit, na huyo anayeondoka ana sifa za kazi hiyo na akiomba atakuwa na nafasi kubwa ya kupata. Sasa inakuwaje unasema anaondoka? Nahisi bado mapema kuhitimisha kama unlivyofanya-haya ni maoni yangu tu mkuu !