Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Sawa, lakini sio kwa kizungu kile.
Weeee baaaana wewe.

Muwaaache,
Kijijini kwenu kuna kisima cha maji?
Mamako ana bima ya nyumba?
Gari yako ina bima?
Girlfriend wako is not cheating on you?
Umenunua barakoa za kutosha?
Jirani yako anakusalimia?
Simu yako iko na chaji ya kutosha?
Unajua blood group yako?
Mtoto uliyenaye ni wako?
When is the last time umetembelea watoto yatima?

Unaona ulivyo na mambo mengi na huyafanyi unahangaika na mtu na hustle zake za kujipatia riziki?
 
Unaujua Unyanwezi wewe
 
Maskini hajawahi kumpenda tajiri, sasa ww na Diamond mnafanana kwa kipi, umepanga chumba kama stoo unamwongelea mtu level nyingine kabisa badala ya kupambana na maisha yako, unaweza kukuta nusu mwaka imepita hujapiga hatua yoyote kazi kudiscuss maisha ya wengine
 
kawaharibu hadi watangazaji wake...." U no wara amin"....u no wara amsaing"
 
Sio ajabu,hata la saba hakumaliza,wewe unayejua kizungu una mchango gani kwenye jamii?Mond asiyejua kizungu kuwa na billioni 10 kwenye akaunti ni kitu Cha kawaida.
Waafrika tumelogwa kweli,yaani mkwanja wote alionao Mond,unamuona sio chochote kwa vile tu,hajuhi kizungu?
 
Reactions: Qwy
Davido ni mzaliwa wa Atlanta hata akiongea you garahhhh yake imepigwa Colgate OG. Kinaija anakitumia kupiga pesa tu.Ni kama watoto wa Bob Marley wanatumia kijamaica kupiga pesa wakati rafudhi yao OG ni ya Marekani.
 
Balance ya billioni kumi after deductions he garahhhhhh 2muchhh money yeah niggaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…