Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii , jamaa kaishia form four sjui form two lakni anajitahd kuitendea Haki tasnia yake , kuna undergraduate kibao tuu wakikutana na snoopy Dogg lazima wachore , ...... Ni kweli jamaa kingereza ni cha kuunga unga hata hvyo anajitahd kuliko kunyamaza kimya ....."i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alaf we mtoa mada ni expert kwenye fluent English au na wewe ni mabonde kuinama a.k.a Sura ya kushindia makande