Kiingereza cha Orest Kawau wa Magic FM


Mkuu mimi na wewe tunazungumza lugha moja, kuanzia leo tuanzishe ushemeji
 

Kiingereza chenyewe hajui. Anakeraaaa! Mtu umakini pale ni Kibwana basi.
 
Asubuhi naangalia CNN, MSNBC, BBC World Service, PBS, nasoma The New York Times, The Wall Street Journal, The Washington Post.

Kwa sababu sitaki Kiingereza cha mayai viza.

Sasa huko kwenye Kiingereza cha mayai viza nisiyoyataka, ushaniambia kuna mayai viza, niende kutafuta nini?

I snob KISS FM and Hot 97 (I would rather listen to 1010 WINS). I don't think even Clouds will cut it.
 
Kuna dada alikuwa magic anaitwa somebody Mdoe alikuwa kama misss flani hivi,bado yupo? Pia alikuwa na vipindi channel 10 akiwa na Raph B Sijaona na Nick Ngonyani.
Mackline Mdoe..very beautiful..aliolewa ameachana na ufyolo wa media..ana biashara zake hapo hapo mjini Daslam!
 
Anayechafua kipindi Ni Mkambala much know nyingi kumbe ugolo mtupu
 
Watanzania kwa kulalamika wameshindikana!!!!....

Yaani unaweza kufa kwa presha na kisukari kwa vitu vidogo sana!!!....

Maisha ni rahisi sana!!!....

Kwanini uumie nafsi kwa kitu kilicho ndani ya uwezo wako pasi na kuchukua hatua!!!.?

Just tune another stations!!!!

So simple and clear!!!!
 
Wabongo bhana Sitashangaa kuskia huyu jamaa kapata ajali ya gari na kufariki hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…