Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Mkuu Kiranga, inawezekana hujasikiliza hicho kipindi cha asubuhi cha magic fm - "Kupaka Rangi.." Kama unaweza ebu ckliza kwanza afu ulete mrejesho. Ni kipindi kizuri, kinakuwa na watangazaji 3 au 4 kwa wakati mmoja, ila kinachafuliwa na huyo jamaa kwa kuingiza kiingereza kibovu sana mara kwa mara. Baadhi yao kama Mr Dachi ni makini kwenye uchambuzi wa mambo, hivyo siyo vzr wasikilizaji kulazimika kuachana na kipindi sababu ya mmoja
Mkuu mimi na wewe tunazungumza lugha moja, kuanzia leo tuanzishe ushemeji