Kiingereza cha Rais Samia

Hawa viongozi vilaza wawe wanashauriwa kutumia wakalimani badala ya kuwa kichekesho
 
Mnasahau kuwa hawa walikulia Tanganyika wakati huo lugha ya Taifa na lugha rasmi ni kingereza.
Katika viongozi wote tuliyonao na tuliyowahi kuwa nao inaonekana ni hao wawili tu ndio waliweza kuongea vizuri kiingereza na ndio maana wanatajwa wao tu.
 

Her English is good, Inatosha, sio lazima iwe kama ya Mkapa au Palagamanda Majalala.
 
Kutema yai ni janga kitaifa,huyu mama ni mweupe kabisa,na kwa viongozi wetu kushindwa kumasta kizungu ni ishara ya uwezo mdogo wa mambo Mengi wasio yajua.
 
Putin, kiongz wa China wao kwenye midahalo wanaongeaga lugha gani

Ova
Labda kiongozi wa uchina sababu ya sera ya Taifa Lao. Ila kiongozi wa Taifa anatakiwa awe mpana sana kwa mambo mengi. Putin akija TZ atabonga kiswahili huwez amini. Muangalie kama kagame, akienda magharibi anabonga kiingereza, wakati pale Kigali kujua kiingereza ni ngumu kwani nyakati zake hakikufundishwa madarasani. Akija TZ kagame anaongea kiswahili kizuri tuu. Rais afaa kuwa mtu wa tofauti, Nyerere Italy alikuwa anaongea kiratini na inasemekana pia aliweza kigiriki
 
Wakati nwingine inafurahisha kuona na kusikia tunavyojiona tunajua sana lkn tukikutana na kuzungumza tunajiuliza ni sisi walewale wa JF? Hili nimekuwa nikilisema sana. Pamoja na kuweko wachache sana wanaokielewa Kizungu, wengi wetu tunajisifia wenyewe tu kwamba tunajua lkn ukweli ni tofauti sana.
 


"I have not been feeling well for the last/past 2 weeks"-----
 
Sawa lakini afadhali mno Samia ingekuwa Magufuli dunia nzima ingeaibika, kwanza asingefanya hiyo ziara kwa visingizio vya kubana matumizi huku huku akimzuia CAG kuweka wazi kufuru za matumizi mabovu ya fedha zetu.
 
Kutema yai ni janga kitaifa,huyu mama ni mweupe kabisa,na kwa viongozi wetu kushindwa kumasta kizungu ni ishara ya uwezo mdogo wa mambo Mengi wasio yajua.
Siyo kweli mbona wote tumemsikia akiongea vizuri tu!! Au mnataka atamke kama Kamala Harris? Haiwezekani hiyo, kila mmoja ana ulimi wake na koo lake.
 
J
Wadau wa elimu tunasisitiza english kuwa lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu ,kiswahili kibaki kama somo tu ,matatizo madogo madogo yasingeonekana
 
Kibaya zaidi wataongopa kuwa ziara yake imefaninikisha kuleta "matrilioni" ya uwekezaji
 
Ni wivu tu kutoka kwa Sukuma Gang. Ile English ya Rais Samia iko vizuri na wala haina dosari.

Ingekuwa Ina tatizo basi wasingeelewana na Kamala Harris hata waandishi wa habari wangeshindwa kunukuu.

Kulinganisha English ya Samia na Magufuli ni kumu underate Samia kwa masilahi yako.

Ile wasukuma vumilieni tu huyu ndiye Rais wetu mpaka 2025
 
Hata mwendazake alisama," Kuna maraisi walisafiri zaidi nje ya nchi kuliko kwenda kwa mama zao"kumbe jiwe akiwaponda viongozi walio mtangulia sawa tuu?

Mkuu umesoma vizuri kabla ya kuniquote?

Kuna haya maandishi "...Rais yoyote akiwemo Samia", ina maana imejumuisha zaidi ya Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…