Kiingereza cha Rais Samia

Hata hivo Mama anajitahidi maana lugha hii siyo yetu,jiulize KAMALA anajua neno gani lolote katika lugha ya kiswahili?
 
Japo upo nje ya mada ila kwa kukusaidia ni kwamba kukariri kupo kitu ambacho hata wazaliwa wa ile lugha hufanya(tena wanaweza kufundishwa jinsi ya kukariri na wasio wazaliwa wa hiyo lugha) lakini pia kuna somo lenye kufundisha hiyo lugha na ndio maana huweza kutumia vitabu vilivyoandikwa kwa hiyo lugha katika masomo yao kitu ambacho kama huijua hiyo lugha huwezi kusoma hivyo vitabu na wengine wanaenda hadi katika hizo nchi kabisa zenye wazawa wa hiyo lugha kwenda kwa ajiri ya masomo na huko na lugha inayotumika ndio hiyo hiyo.

Kwahiyo niseme kwamba wapo wanaishia kukariri tu hayo maneno ila wapo wenye kuijua hiyo lugha hasa ukizingati ndio hutumika kufundishia.
 
Inanipa simanzi nikiwaza kama Nyerere angepewa uwanja huo angesema nini kuhusu matarajio ya Tanzania pia Afrika na hali ya uchumi na siasa duniani na nini ushirikiano wetu uzingatie hususan, ikizingatiwa kuwa serikali ya Marekani hivi sasa inaendeshwa na Democratic Party ambayo kwa kawaida ni waelewa wa dhana ya maendeleo kwa matabaka ya jamii yote katika nchi na duniani!
 
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.

Hebu mcheki hapo. Super impressive.

Hasomi popote.

Mkuu hembu tupia na ile ya Dr. Bilal nakumbuka uliwahi kuongelea kitu kama ichi uka referrer kwake.
 
Hawez fanana kabsa na yule mtu pori wako
 
Ww mtt huna adabu
 
SUKUMA GANG hakika mvumilie tu mpaka 2060
Kipindi hicho nchi ikiwa na Heshima yake.

Nioneshe sasa hivi Rais wa Afrika anapokea 21 gun salute.

Sio sasa hivi Marais wetu wanapigana vijembe kwa wazungu ili kupalilia misaada.
 
Mleta uzi yeye yuko fluently kwenye kutema yai mkuu

Ova
Kuandika kingereza na kuongea kingereza ni vitu viwili tofauti, hata Magufuli alikuwa anajuwa kuandika kingereza vizuri tu.

Wazungu wenyewe waliojifunza kingereza kama lugha ya pili wakiongea English utacheka, au wasikilize waarabu kingereza chao ni full burudani.

Kimsingi mtu kama English siyo lugha yako ya kwanza ukijuwa kingereza cha mawasiliano inatosha sana, wewe siyo English leacture kwamba unataka kufundisha lugha.
 
Mzee wa intrapyinua
Lipo wazi kabisa “ELIMU yake ni ya kuunga unga sembuse kwenye lugha?”

Hapo ndio mweupe pyeee kama karatasi, hakika hawana tofouti na Hayati ila Hayati kamzidi kielimu maana alikuwa na phD kabisa ila huyu mmh!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…