selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Hata hivo Mama anajitahidi maana lugha hii siyo yetu,jiulize KAMALA anajua neno gani lolote katika lugha ya kiswahili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
South AfricaWa Botswana au wa South Africa?
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Japo upo nje ya mada ila kwa kukusaidia ni kwamba kukariri kupo kitu ambacho hata wazaliwa wa ile lugha hufanya(tena wanaweza kufundishwa jinsi ya kukariri na wasio wazaliwa wa hiyo lugha) lakini pia kuna somo lenye kufundisha hiyo lugha na ndio maana huweza kutumia vitabu vilivyoandikwa kwa hiyo lugha katika masomo yao kitu ambacho kama huijua hiyo lugha huwezi kusoma hivyo vitabu na wengine wanaenda hadi katika hizo nchi kabisa zenye wazawa wa hiyo lugha kwenda kwa ajiri ya masomo na huko na lugha inayotumika ndio hiyo hiyo.Sina Nia ya kubeza Imani ya mtu...zamani nikiwa mdogo nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa anasoma kitabu flani cha dini yake kilichondikwa kwa lugha ya kigeni sasa siku moja nikaokota kipande cha gazeti ambalo limeandikwa kwa lugha hiyo nikamuomba aniambie gazeti Hilo limeandika kuhusu nini? Rafiki huyo akaniambia maandishi ya misahafu siyo sawa na maandishi ya gazeti japo ni lugha ile ile! Nilikuja kugundua kuwa huwa wanakaririshwa tu hata maana yake hawajuhi....kama mama alipitia masomo kama hayo hawezi kuhoji anachiandikiwa nini maana kukariri ndiyo asili yake!
Wangemchukua angalau yule mkalimani wa Mwamposa.South Africa
Inanipa simanzi nikiwaza kama Nyerere angepewa uwanja huo angesema nini kuhusu matarajio ya Tanzania pia Afrika na hali ya uchumi na siasa duniani na nini ushirikiano wetu uzingatie hususan, ikizingatiwa kuwa serikali ya Marekani hivi sasa inaendeshwa na Democratic Party ambayo kwa kawaida ni waelewa wa dhana ya maendeleo kwa matabaka ya jamii yote katika nchi na duniani!Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Hapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
Ila Magu ndio ilikuwa kituko. Pipo uzed to dai anda ze rek [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi hicho nchi ikiwa na Heshima yake.
Nioneshe sasa hivi Rais wa Afrika anapokea 21 gun salute.
Sio sasa hivi Marais wetu wanapigana vijembe kwa wazungu ili kupalilia misaada.
Alipewa heshima mpaka Raha, beberu akikuhitaji uwe chawa wake, anafanya mambo makubwa mazito unapumbazika!
Kuandika kingereza na kuongea kingereza ni vitu viwili tofauti, hata Magufuli alikuwa anajuwa kuandika kingereza vizuri tu.Mleta uzi yeye yuko fluently kwenye kutema yai mkuu
Ova
Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa!
Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia.
Mtaumia sana….Samia atasemwa sana tu.
Lipo wazi kabisa “ELIMU yake ni ya kuunga unga sembuse kwenye lugha?”
Hapo ndio mweupe pyeee kama karatasi, hakika hawana tofouti na Hayati ila Hayati kamzidi kielimu maana alikuwa na phD kabisa ila huyu mmh!?
Ndalichako?Kuna waziri mmoja,mwanama na ana PhD ushawahi msikia akitema ngeli
Ova
Kama kama taifa tuliamua kuwa Kiingereza kiwe moja ya lugha yetu ya taifa, basi kukijua ni lazima.
La sivyo tuache kusema kuwa ni moja ya lugha yetu ya taifa.
Imagine Magu na Hangaya wanalonga kwa Kiingereza wakiwa peke yao ofisini [emoji1787][emoji1787]
Ninajuwa Kiingereza wacha kujiandikia kwa chuki zakoutajuaje ameongea vizuri wakati kiingereza hujui?