Kiingereza cha Rais Samia

mnataka tena tuanze kukidharau kiswahili na kukitukuza Kiingera??!!

Kwa kasumba hii ndio maana hadi leo Mahakama zetu pia zimepata kigugumizi kutumia Lugha ya Kiswahili ktk kotoa Haki za watanzania.
 
Serikali hii ya mpito inatia aibu. Mkirudi mje na madini yetu 25,yaliyozama huko. Nonsense.
 
Ukweli mtupu👍
 
Unaongea kuhusu zamani ipi iliyopuuza Kiingereza kwenye historia ya Tanzania?
 
Kuna video nyingine ilikuwa humu, sijui imefutwa au sija-search vizuri, inaonesha kuwa SHH anasema 'he is a scientist, he is a chemist', mpaka mtangazaji anamsahihisha kuwa 'he was'.
 
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.

Hebu mcheki hapo. Super impressive.

Hasomi popote.

huyu alikuwa gwiji kweli kweli wa lugha na pembeni namwona gwiji mwingine oscar kambona.hawa walikuwa talented pamoja na akina mkapa.wengine kiingereza tunabumba tu.
 
Siyo lugha tu, ana uwezo mdogo sana wa kufikiri. No analytical skills at all. Msikilize hizo sekunde chache za Rais Mwinyi, it is day and night na huyu bibi. Hiyo ya Kamala mgombea wa kwanza VP kaisema mwenyewe, haikuwa kwenye speech. But it is very sad Rais anapoonyesha uwezo mdogo wa kufikiri. Na siyo kwa Kiingereza tu, hata uwezo wa kifikiri kwa Kiswahili ni mdogo sana.
 
Binafsi na wengi tuliosoma masomo ya Saiyansi tuna amini sana kwenye content kuliko lugha
Kwa wale mliosomea masomo rahisi ya Lugha huwa mnaona kuongea kingereza ndio kila kitu ambapo ni udhaifu mkubwa sana ( Colonial mind set). Language is just the means of communication; mkishaweza kuelewana inatosha, kinacho angaliwa ni content. Kama content ni pumba hata ukiongea english nzuri kama ya Obama ni bure kabisa!
Mimi niliona Rais wetu ameongea BEST english kwa kuwa alifikisha ujumbe aliokusudia!
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, watu wapumbavu hata mzungu akiongea pumba kwa kiingereza hupiga makofi
 
Naunga hoja mkuu.Sifa kuu mojawapo ya Lugha ni kubeba maana na kufikisha ujumbe kwa jamii. Kama hivi vyote vilifanyika kwa ufasaha hakuna shida hapo ndio maana sote tunajadili ujumbe alioutoa kwasababu tulimuelewa.
 

Hapa ni issue ya tense au mzimu wa Magu? Lakini kwa kusahihishwa, ni chenga ya past tense! (sikiliza around 7:40).

Nyani Ngabu
 
[emoji23][emoji23]mwenzako hajakaa Marekani kama wewe mkuu,mtu wa Huku Kizimkazi katembea sana ni hapa Dar na Dodoma unataka kumuweka daraja sawa na mtu wa Cleveland,Salt lake,Idaho,wichita,New york na Atlanta?? Tumvumilie tu mkuu yatakwisha
Kasumba ya kijinga. Mbona hamumshangai mchina akiongea kiswahili kibovu!
 
Labda huko ughaibuni lkn Africa
mwanamke anatakiwa alee watoto tu na labda uSecretary sisi tumepigwa
 
Pia hajiamini akiona mzungu anatetemeka
 
Hii nchi vijana Wana agenda za kichoko sana.

Popote watakapokuwa Mbongo Mbongo tu, trash tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…