Kiingereza cha Rais Samia

Maxence Melo mkuu hizi akaunti zinatakiwa ziwe na status ya new member muda wote tu. Verified member na Yuko na status ya Platinum member akiposti ujinga kama huu anafanya jf iwe kama FB ya kina Nasra Juma.

Mbona whites wakikosea kuongea kiswahili mnawasifia.

Ukosoaji uliofanya usingehusisha suala la kuongea kiingereza, status ya platinum member inakufaa not otherwise.
 
Lipo wazi kabisa “ELIMU yake ni ya kuunga unga sembuse kwenye lugha?”

Hapo ndio mweupe pyeee kama karatasi, hakika hawana tofouti na Hayati ila Hayati kamzidi kielimu maana alikuwa na phD kabisa ila huyu mmh!?
 
Usimwonee. No lafudhi yake natural hiyo. Ndivyo anavyozungumza hata Kiswahili. Hiyo siyo British accent hata kidogo.
Je unasemaje kuhusu kutokuweka attention kwenye Taarifa ndogo ndogo kwenye speech yake..

Kama aliandikiwa alitakiwa ahakikishe kweli Kamala ni mgombea wa kwanza wa umakamu, what was the point of this?
 
Tahila wewe, kwahiyo dunia nzima kila mtu anaijua lugha ya Taifa lingine kwa ufasaha, sukuma gang mmevurugwa wapuuzi nyie
 
Hilo sasa jambo lingine ambalo mi sikuongelea. Siyo kwamba namhusudu ila najaribu kuongea uhalisia. Usije ukaniweka kwenye ushabiki wa vyama.
Je unasemaje kuhusu kutokuweka attention kwenye Taarifa ndogo ndogo kwenye speech yake..

Kama aliandikiwa alitakiwa ahakikishe kweli Kamala ni mgombea wa kwanza wa umakamu, what was the point of this?
 
Unamuonea.

Amandla....
 
Dikteta maggufuli mbona alikuwa anauponda utawala wa Kikwete,na nyinyi wafuasi wake mkawa mnabinua makalio kufurahia
 
Su
Sukuma gang...close your mouth (kwa niaba ya tangazo la haki elimu)
 
Ni moja ya mbinu ya kutawala muda mrefu! Hapo watu wanapumua kuwa kuna mabadiliko! Hili wapinzani pia wamelilea sana.
 
Dikteta maggufuli mbona alikuwa anauponda utawala wa Kikwete,na nyinyi wafuasi wake mkawa mnabinua makalio kufurahia
Wabongo mpaka sasa hawajuwi wanapigania nini/wanataka nini!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…