Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Hahahha yaani ukiwa kichwa panzi we kichwa panzi tu! Yaani taarifa za akina Hillary Clinton walishawahi kugombea!
Eeh amekulia barabara ya Massachusetts yule karibu na viunga vya Peterson Institute pale hivyo hana shaka na papai.Membe? You can’t be serious…
Mnasahau kuwa hawa walikulia Tanganyika wakati huo lugha ya Taifa na lugha rasmi ni kingereza.Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha
😁😁😁Bora yeye anajua kiingereza kidogo , Kamala Harris hajui kiswahili kabisa
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Jibu hoja Bibi yako anadhani mambo ya jenda yatambeba huko! Umemuona Kamala anavyomshangaa maana anamuona anajifanya mjuaji lakini kichwani mweupe!😂😂😂😂😂Duh!
Sasa wewe na yeye mna tofauti gani?
Hillary Clinton hajawahi kugombea umakamu wa Rais!
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Hili ni kweli kwa sababu wanaongea kuwafurahisha hao Mataifa makubwa..Sometimes nahisi itakuwa wana loose confidence
Na hii ya kamala ndio mgombea wa kwanza mwanamke?The last Haina shida,hutumika sana
for the last [past sounds much better] 60 years’.
kuunda lafudhi
ya Britain