Kiingereza cha Rais Samia

Kiingereza cha Rais Samia

Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.

Hebu mcheki hapo. Super impressive.

Hasomi popote.

Huwa nashangaa sana watu mnaolinganisha watu kwenye lugha. Kila mtu ana kipaji chake. Mwingine akikaa mahali anafahamu haraka sana lugha ya pale wakati mwingine akijitahidi ni maneno mawili tu. Pia kuongea vizuri lugha huwa inatokea kama unaitumia mara kwa mara.
 
Rais wa Ukraine ana kiingereza kibovu lakini anajiamini sana kwenye kuzungumza.
Tatizo tulilonalo tumeamua kuchagua Kiswahili kua lugha ya kufundishia ilhali fulsa nyingi zilizopo duniani zinahitahi Kiingereza.
Naamini kama tungechagua English kama Lugha ya mawasiliano kama vile Kenya, basi hata kimaendeleo inawezekana tungekua mbali sana kuliko Kenya.
Kenya hawana Ardhi nzuri ya Kilimo lakini wanafulsa nyingi za kibiashara kwa sababu ya Lugha tu.
Tunakimbia fulsa nyingi za nje kwa sababu hatuijui Lugha.
Cha ajabu viongozi wetu hawataki kufanya mabadiliko, ingawa watoto wao wanawapeleka kwenye shule nzuri ili kuwafungulia dunia.
Baada ya hii ziara ningeomba mama alitafakari hilo kwenye Elimu zetu.
Sisi sote tunawajibu wa kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake, lakini Lugha inatukwamisha. Ze ze nyingi sana.
Bado inawezekana sana kufanya mabadiliko haya kwa watoto wetu, kinyume cha hapo tutaendelea kuchekana hivihivi.
 
Ni vigumu sana kuwa fluent kwenye lugha ambayo huitumii kwenye mawasiliano yako ya kila siku, inakuwa ngumu sana kujenga misamiati ya kutosha ikiwa hiyo lugha huitumii...........na bila misamiati au maneno ya kutosha utaanza kutafutatafuta maneno sahihi na mwishowe unaishia kupata kigugumizi na kupoteza confidence......
100% correct
 
we mwenyewe kweye kuandika kiswahili bado sanaa neno “Halafu” linaandikwa “alafu”
 
English language has no master.Ni rahisi kuchambua na kuona makosa ya mwezako sababu amezungumza ila hata baadhi ya watu humu wanaojiona ni mamaster wa hii lugha tuwaambie wazungumze na wao tuwasikilize kingereza chao ni vichekesho vitupu.Jambo lingine ambalo tunatakiwa kujua ni kwamba lugha ya kujifunza huwezi akaimudu 100percent kama lugha ya kuzaliwa nayo labda kama ni mtu unaye fannya intaraction na watu wanaozungumza lugha hii mara kwa mara ndio utakuwa tofauti lakini kama umesoma kingereza cha hapa bongo land alafu huna exposure na wanao zungumza lugha hii bado kingereza chako kimataifa kinakuwa poor na wengi hapa bongo ndio kundi hili.exposure ndio mpango mzima katika lugha
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Nyie mna matatizo huyu mama mbona an flow kiingereza kizuri hivo huwezi kumriganisha na Mag wenu yule alikua mweupe kwenye kiingereza mcha wivu buana
 
Hivi unajua hata kiengereza ulichoongea kwa sentensi 2 teyari kina makos???
Ndio maana mimi huwa sipendi kukosoa mtu eti hajui kuongea au kuandika kiingereza. Sentesi 2 tayari zina makosa je ukurasa mzima itakuwaje?
 
we mwenyewe kweye kuandika kiswahili bado sanaa neno “Halafu” linaandikwa “alafu”
Siku hizi kwenye kuandika ndio kabisaa wengi wanakosea, makosa ya kisarufi na kimantiki yanaoongezeka humuoni mtu akikosoa, sasa kosea kiingereza hata neno moja tu walimu wa lugha hao wameshakuja kukosoa. Anayekosoa naye kumbe haijui kwa ufasaha.

Tujifunze lugha zote kwa ufasaha. Kiswahili na Kiingereza.
 
Lipo wazi kabisa “ELIMU yake ni ya kuunga unga sembuse kwenye lugha?”

Hapo ndio mweupe pyeee kama karatasi, hakika hawana tofouti na Hayati ila Hayati kamzidi kielimu maana alikuwa na phD kabisa ila huyu mmh!?
Kuungaunga akianzia IDM mzumbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Niwe na bifu na marehemu?

Mtu mwema huongelewa kwa mema yake. Ukiona mfu anaongelewa kwa ubaya ujuwe alikuwa mbaya kweli.
Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Kumbe Mohammad alikuwa mwendawazimu
 
Ukiona mfu anaongelewa kwa ubaya ujuwe alikuwa mbaya kweli.
Katika "Sahih Muslim, Kitabu 35, 6522 Idadi" inasema kwamba Muhammad alikuwa mwenye dhambi kubwa ambaye aliomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mara mia kila siku:

"Al-Agharr al-Muzani, ambaye alikuwa mmoja wa (Mtume) wenzake taarifa kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani ilikuwa juu yake) alisema: Kuna (wakati mwingine) aina ya kivuli juu ya moyo wangu, na mimi kutafuta msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu mara mia kwa siku. "

MUHAMMAD AKIRI KUWA DHAMBI ZAKE HAZIKUSAMEHEWA
Katika kitabu chake " mwisho mstari wa mbele "anaandika Reza Safa F inasema katika hadith ambapo mke wa Muhammad Khadidja kumtaka kusamehe dhambi yake, Muhammad alijibu kuwa hakuwa na uhakika dhambi zake mwenyewe walikuwa kusamehewa! Angewezaje kusamehe dhambi yake?
 
Katika "Sahih Muslim, Kitabu 35, 6522 Idadi" inasema kwamba Muhammad alikuwa mwenye dhambi kubwa ambaye aliomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mara mia kila siku:

"Al-Agharr al-Muzani, ambaye alikuwa mmoja wa (Mtume) wenzake taarifa kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani ilikuwa juu yake) alisema: Kuna (wakati mwingine) aina ya kivuli juu ya moyo wangu, na mimi kutafuta msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu mara mia kwa siku. "

MUHAMMAD AKIRI KUWA DHAMBI ZAKE HAZIKUSAMEHEWA
Katika kitabu chake " mwisho mstari wa mbele "anaandika Reza Safa F inasema katika hadith ambapo mke wa Muhammad Khadidja kumtaka kusamehe dhambi yake, Muhammad alijibu kuwa hakuwa na uhakika dhambi zake mwenyewe walikuwa kusamehewa! Angewezaje kusamehe dhambi yake?
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Linganisha na mliyemfanya laana.

Sasa ikiwa mnaemuabudu mmemfanya mwenye laana, nikushangae vipi kwa ujinga uliouandika? Fikiri.
 
Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Kumbe Mohammad alikuwa mwendawazimu
Sikushangai hukuanza wewe hayo.

Ikiwa Yesu mnaemuabud mmefanya laana, nikushangae kwa lipi zaidi?
 
Back
Top Bottom