Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Mbona ameflow safi kabisa.mimi nilifikiri labda kuna ze ze, zat, zozi za hapa na pale lakin wala.viva bro.kwani ngeli inatupeleka mbinguni.kwa msomi aliyesoma kuanzia Dar la kwanza hadi phd bongo hicho ni kingereza cha juu sana kuwahi kutokea

usisahau pia walimu wetu wa englishi walikuwa wanatufundisha english kwa kiswahili. leo tunajifunza kuhusu matumizi ya noun na verb "Mc pilipili qouted"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…