Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Waabongo wengi mko kama mna umtindio wa ubongo, sijui mliambiwaga na nani kua kingereza ndiyo uungu huku duniani,wanaoomgea hicho kingereza bado hawawezi kuongoza nchi kwa kiwango chake,sasa hiyo lugha ya washenzi inasaidia nini hapa Afrika? Nyie ndo wale ambaokipeleka watoto shule hizo wakiongea lugha ya kigeni mnaamini wako vizuri na kujisifia mitaani kua mtoto wako anaongea kingereza na mwisho wa siku toto linaishia kua lishoga
Hawa ni chadema mkuu, hususani hukoo kaskazini. Kazi yao kubwa ni kukosoa tu,, na ndio maana hakujawahi tokea raisi kwenye ukanda wao.