Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Puttin yuko fluent KWENYE lugha zaidi ya tano, lakini siku zote hutumia Kirusi kuwasiliana, sasa huyu anashindwa Nini? Aibu kwake na kwa taifa zima

Tatizo walio karibu yake hawamwambii ukweli.

Wako busy na mapambio ya kusifu.

Ngosha naye kwa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa analikoroga zaidi: "onli weki," macho makavu!

Hiiiii bagosha!
 
we una angalia kingereza embu angalia alichoenda kukifanya kule malawi kina faida sana kwa taifa ndugu,.... swala la upanuzi wa bandari ya mtwara litaleta ajira kwa vijanaaa, miji kama ya nyasa itachangamka sanaa kibiashara,... ujenzi wa HEP project ni faida pia kwa taifa ..kingereza sio issue bro ata putin hajui english

Chaggadema hawa wasikusumbue bro, na likanda lao la kaskazini wasahau uraisi.
 
Si awe anaongea kiswahili tu. Mimi sijui kiingereza ndo maana napiga kiswahili tu hapa.

Pamoja na hayo, lakini unajisikiaje kumuanzishia mada raisi wako na kumdhalilisha ivyo! Au ndio furaha kwako!

Ndio maana nchi jirani wanawadharau.
 
Mbona message imetoka wazi na imeeleweka vyema ,kitu tunapaswa kujua lugha ni Moja ila lafudh ndio uwa tofaut ,na hii utokana na lugha mama ya muusika,
Hata pale uingereza ukifika London wanaongea vyema ila nenda North au Southampton utaona utofaut au nenda wales kule ukaone kiingereza Hicho kinavyoongewa
 
Kiingereza ndo nini? We baki na kujua kwako lugha huku ukitembeza nyapu (kudanga) wakati mwenzio analala kwenye kiyoyozi. Bloodfool wewe...
 
Hiyo PhD aliipataje? Kuna tatizo mahali, ukweli lazima usemwe.

Hivi wewe na kiingereza chako umefaidika na nini haswaa, wakati kuna wa standard 7 na form 4 wanakula life vizuri sana huku mitaani,, wenye degree zao tunao huku mitaani wamegeuka kuwa omba omba,,juzi kati hapa mwanachuo ameajiriwa na wabodaboda, na isitoshe mwingine ameomba kazi hata ya kuchunga ng'ombe.

Kwahiyo mafanikio hayaletwi na kiingereza, bali ni akili, juhudi, na uaminifu, hapo ndio utafaulu.
 
We boya, huyo ni icon ya Taifa.
 
Kiingereza ndo nini? We baki na kujua kwako lugha huku ukitembeza nyapu (kudanga) wakati mwenzio analala kwenye kiyoyozi. Bloodfool wewe...

Chaggadema hao hawana jipya, kazi kukosoa tu.
We boya, huyo ni icon ya Taifa.

Mlishakaririshwa nyie, makonda mlimsema sana mara oh hajasoma, sijui amefoji certificate lakini hakujawahi kutokea mchapa kazi kama yeye, nyie na degree zenu mnaishia kufanya kazi za ndani uarabuni na kuchunga ng'ombe,,,mkipewa nafasi ya makonda mnachemsha.
 
Mpuuzi kweli kweli wewe, kwa hiyo makonda hana vyeti vya kufoji? Daud Bashite ni nani?
 
msukuma mwenzangu huyu, wote hatujui kingereza, ndio maana hata nje hatusafiri, na tungekijua mngekoma, yaani kujua urefu wa barabara na idadi ya samaki tunasumbua nchi nzima, je kingereza tungekijua?
Kujua urefu wa barabara, idadi ya samaki na madaraja kuna faida gani kwa mkazi wa Namanga ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom