Kiingereza pia ni majanga kwa rais wa china, ufaransa, kamsela wa ujeeumani. Sasa sijui unataka kusemajeJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza pia ni majanga kwa rais wa china, ufaransa, kamsela wa ujeeumani. Sasa sijui unataka kusemajeJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Wa Ujerumani anaongea kinge vizuri kabisa. Ujerumani kinge wanakisoma tokea shule ya msingi sambamba na kijerumani though kinge siyo lugha yao ya taifa. Macron nae kinge anakijua though siyo lugha yake ya taifa. Tanzania kinge ni lugha yetu ya taifa sambamba na kiswahili.Kiingereza pia ni majanga kwa rais wa china, ufaransa, kamsela wa ujeeumani. Sasa sijui unataka kusemaje
Wa Ujerumani anaongea kinge vizuri kabisa. Ujerumani kinge wanakisoma tokea shule ya msingi sambamba na kijerumani though kinge siyo lugha yao ya taifa. Macron nae kinge anakijua though siyo lugha yake ya taifa. Tanzania kinge ni lugha yetu ya taifa sambamba na kiswahili.
Nyumbu umecatch mafeelings. Ila utabaki kuwa yumbu tuNyumbu ni hicho Kiingereza chako cha kipumbavu! mpuuzi wewe!
Macron haongei broken. Sema anaongea english yenye lafudhi ya kifaransa.Wew ushawahi kumsikia angela akiongea kiingereza? Macron nimeshamsikia anaongea broken kabisa. Msikilize R anatamkaje. Acha uongo hapa kwa vile wazungu bas unawatetea. Wew hujui kiingerza ndo maana wasiojua wenzio wakiongea unaona wanajua
Anaongea broken pia acha kumtetea. Nishamsikiluza sana. Kama some english words anatamka kifarabsa hiyo ni broken tayari. Au sababu yeye ni mfaransa. Huo ushamba tumeshatoka huko zamani acha kutuaminisha mambo ya zamani. Sas hivi tunaona kila kitu.Macron haongei broken. Sema anaongea english yenye lafudhi ya kifaransa.
Kwamba "let develop togethers"......Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Wasukuma hatuna lafudhi za kihuni namna hiyo, hiyo ni lafudhi yake mwenyewe tuBora hata matamshi tutasema lafudhi ya kisukuma. Ila kukosea muundo wa sentensi ni kosa sana.
wasukuma mmetisha sana, dah, kingereza cheni ni comedy tosha, huhitaji kumwangalia joti wala masanja.Wasukuma hatuna lafudhi za kihuni namna hiyo, hiyo ni lafudhi yake mwenyewe tu
mbona kama umepaniki mkuu?😎😡Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
msukuma mwenzangu huyu, wote hatujui kingereza, ndio maana hata nje hatusafiri, na tungekijua mngekoma, yaani kujua urefu wa barabara na idadi ya samaki tunasumbua nchi nzima, je kingereza tungekijua?mbona kama umepaniki mkuu?😎😡
Mie simo mkuu, maana ya Ben8 bado yapomsukuma mwenzangu huyu, wote hatujui kingereza, ndio maana hata nje hatusafiri, na tungekijua mngekoma, yaani kujua urefu wa barabara na idadi ya samaki tunasumbua nchi nzima, je kingereza tungekijua?
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Magu kingereza mbovu sana,jana niliangalia interviews nyingi za B.Mkapa alizofanya kwa kingereza. Mkapa anajua Kingereza utafikiri kakulia London. Kweli Mkapa alisoma na aliyoyasoma aliyaelewa. Kweli Mkapa alikuwa kaaelimika.Kwa hakika bora angeongea hata kisukuma tu. Mbona angeeleweka vizuri tu?
Taabu yake kiingereza anakipenda na bahati mbaya kimempitia kushoto.
Kinge ndo barrier ya mtu kutosafiri nje. Hakuna lingine. Imagine unapata video anaongea na Bojo. Wallah tungevunjika mbavu humu.msukuma mwenzangu huyu, wote hatujui kingereza, ndio maana hata nje hatusafiri, na tungekijua mngekoma, yaani kujua urefu wa barabara na idadi ya samaki tunasumbua nchi nzima, je kingereza tungekijua?
Magu kingereza mbovu sana,jana niliangalia interviews nyingi za B.Mkapa alizofanya kwa kingereza. Mkapa anajua Kingereza utafikiri kakulia London. Kweli Mkapa alisoma na aliyoyasoma aliyaelewa. Kweli Mkapa alikuwa kaaelimika.