Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Masoko Malawi au wapi? Acha masihara
Kitu gani kimekukwaza dada yangu. Mbona mnajali vitu vidogo sana.
Jamaa yuko huko anatafuta masoko ya mazao yetu, tuchimbe mafuta na ndugu zetu, sisi tunaongelea lugha.
Muhimu tumuambie atembee zaidi, DRC, Zambia, South Africa, China, India, Germany, UK, France, Brazil, Saudi Arabia, Dubai, Qatar, Nigeria, Indonesia.
Masoko yote makubwa duniani tupate masoko ya bidhaa zetu hasa za kilimo, ni utoto kuzungumza kuhusu lugha.