NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
wi a sapoz tu helpu awaself πββοΈπββοΈπββοΈ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza ndio kinaongoza nchi?Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Acha ushamba ww kingereza sio ishu kwa watu wenye akili zao ila kwa sa babu una utumwa wa kifikra ndio maana unaongea upupu huo bila kufikiri na kufanya utafiti.nch za wenzetu wanapenda lugha za mataifa yao kushinda hyo lugha ya kishoga.
Mbona ameflow safi kabisa.mimi nilifikiri labda kuna ze ze, zat, zozi za hapa na pale lakin wala.viva bro.kwani ngeli inatupeleka mbinguni.kwa msomi aliyesoma kuanzia Dar la kwanza hadi phd bongo hicho ni kingereza cha juu sana kuwahi kutokea
usisahau pia walimu wetu wa englishi walikuwa wanatufundisha english kwa kiswahili. leo tunajifunza kuhusu matumizi ya noun na verb "Mc pilipili qouted"
MKUU SI MZEE WA COMEDIAN LAZIMA ACHOMBEZE KIDOGO NA ILE SAUTI LAZIMA WATU WACHEKE KIDOGOSasa wewe ndio unaharibu, kama sio issue mbona mtukufu anataka kuongea?, si angeongea Kiswahili tu.
Kuunga sio tatizo unaeza kua fresh lkn tabu ndio zilezileYaani ni
Yaani nilicheka sana, duu , mtu wa PHD hawezi kuzungumza simple sentence? Yaani kweli elimu ya kuunga unga ni balaa
mzazi umenena, asante huyu poyoyo kakuelewaUsitake ku justify upuuzi!! Eti putin hajui English!! Ndio kuhalalisha makosa ya jiwe?? Tatizo lake wala sio kuwa na zee, zeee nyingi bali ni makosa ya kiufundi, ambayo yapo wazi hata kwa mtoto wa grade 3 aliyefundishwa vizuri hawezi fanya,sasa phd holder kweli tenses nazo ni shida?!!! Mala matumizi ya, 'have' na has hujui!!?? Na english ndio lugha aliyoitumia kujifunzia toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu?!!! Tofauti ya ai hostess na hostage hajui?!! Putin hata kama angekuwa hajui yeye English kwake sidhani kama ni lugha ambayo ameitumia kujifunzia darasani.
ππππ bac mumsamehe buleee na ndo kashakuwa kiongpzi wenu ss mtake msitakeUsitake ku justify upuuzi!! Eti putin hajui English!! Ndio kuhalalisha makosa ya jiwe?? Tatizo lake wala sio kuwa na zee, zeee nyingi bali ni makosa ya kiufundi, ambayo yapo wazi hata kwa mtoto wa grade 3 aliyefundishwa vizuri hawezi fanya,sasa phd holder kweli tenses nazo ni shida?!!! Mala matumizi ya, 'have' na has hujui!!?? Na english ndio lugha aliyoitumia kujifunzia toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu?!!! Tofauti ya ai hostess na hostage hajui?!! Putin hata kama angekuwa hajui yeye English kwake sidhani kama ni lugha ambayo ameitumia kujifunzia darasani.
Hapo sawa!! Lakini tusianze ku justify upuuzi!! Shida ipo tukubali sio ohoo mala english haileti maendeleo!!!ππππ bac mumsamehe buleee na ndo kashakuwa kiongpzi wenu ss mtake msitake
you may think ni igizo la praimari kumbe ni kitu real kinatokea!Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Jamani nimemsikilza leo akiongea kiingereza , yaani mpaka mimi mwenyewe nimeona aibu, kasema you marry her we marry there anamaana intermarriages yaani nimecheka kama namuona bambo aki actyou may think ni igizo la praimari kumbe ni kitu real kinatokea!
Wewe Muuza tako pale kona bar
ONLY WORK CAN SAVE US. TANZANIANS THEY WERE NOT WORKING EVER SINCE.Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Watch your mouth.He is back!ONLY WORK CAN SAVE US. TANZANIANS THEY WERE NOT WORKING EVER SINCE.