ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Jiwe ni mbishi nilimuandikia hotuba nzuri nikamwambia afanyie mazoezi wiki zima. Sasa leo anaongea kutoka kichwani/freestyle, ndio madhara yake hayo.
Ila genius wana free style. Ndivyo walivyo. Vingi wanakosea Ila wakipatia mambo yanakuwa vizuri sana.
Huyu Rais tumuheshimu, mumkosea kwa lugha nzuri, watu 50,000, 500,000 mnaojua Kiingereza mtaona anakosea, Ila sisi tusikiojua atatusikiliza pia, matusi, dharau, kejeri, kebehi si lazima.
Muhimu kama anakosea mkosoeni, bila matusi, dharau, kejeri, kebehi, utoto, kwamba ni Mshamba.
Yote hayo tunayajua, mmeyaongea sana, tujikite kwenye hoja.
Tuna nguvu kubwa ila tunawahamasisha vijana vibaya. Kutukana tu viongozi badala ya kujenga hoja. Tunakosea.