Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Halafu ewe mwenye akili fupi mbona Mh. rais kaongea vizuri tu, tena kaeleweka vizuri mno, ila kwa sababu nyie ni wapinzani mtapinga kila kitu
 
Watanzania na sisi tumezidi jamani, muhimu kuelewana. Lugha ni kwaajili ya mawasiliano na hapo wamemuelewa hadi na makofi wamepiga. Hilo ndilo la msingi.
Kuna watu bado wanaakili za kitumwa
 
Kwani hicho kingereza kwa waliomtangulia kimetufikisha wapi?

Hikihiki kiswahili chake now kimetufikisha mahala ambapo tumesogea.

Amezaliwa tanzania, atakufa na utanzania, Anawaongoza watanzania na yeye ni mtanzania na anakitangaza kiswahili cha tanzania ulimwenguni.

Ukumbuke ukalimani ni kazi kama kazi inayokufanya uishi.. kwa namna nyingine umedharau na umekidharirisha chama cha wakalimani.
 
Umeandika pasipo kutulia. Kwani ulitaka kusema nini??
 
Wewe umeona wisdom kumnanga Rais?Wewe mwenyewe ni unwise kabisa!!!
Mwenzetu mama yako sio mwanamke?
Mbona unakosa hekima kiasi cha kuwatukana kina mama aisee, grow up men, jiheshimu, lets wisdom lead your way!!
 
Uadirifu sifuri, rejea ripoti ya CAG. Kingeleza sifuri..sasa hii si ni balaa
wewe ni miongoni mwa mashabiki wa yule tapeli wenu ZZK, wala hatuhangaiki na ninyi maana tulishawajua na kelele zenu hazina madhara kabisa, si umeona juzi kati hapa yule mnafiki kaja eti nyeti nyeti habari ya IMF, hivi bado mnasemaje??? Hahahaha, viumbe msiotumia akili kabisa
 
Vp kiingeleza chake unakionaje?
 
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Hatuzungumzii Kiingereza. Anajidhalilishaa, kwanini asiongee Kiswahili?
Xi Jin Ping Rais wa China alikuja hapa akaongea Kichina....why our president ang'ang'anie English wakati haiwezi.? Why?
 
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?

Kitu gani kimekukwaza dada yangu. Mbona mnajali vitu vidogo sana.

Jamaa yuko huko anatafuta masoko ya mazao yetu, tuchimbe mafuta na ndugu zetu, sisi tunaongelea lugha.

Muhimu tumuambie atembee zaidi, DRC, Zambia, South Africa, China, India, Germany, UK, France, Brazil, Saudi Arabia, Dubai, Qatar, Nigeria, Indonesia.

Masoko yote makubwa duniani tupate masoko ya bidhaa zetu hasa za kilimo, ni utoto kuzungumza kuhusu lugha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom