Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Not more than tumorooo....in the best directions😜. Well, atleast amevuka mipaka ya Nchi
 
Watanzania tujifunzeni kiingereza nimeona aibu kabisa na nipo mwenyewe sijui tungekuwa wengi ningeficha wapi sura yangu.

Hata kwenye TV hayo maneno yamekosewa.
Na kweli aisee hebu ajifungie wiki moja tu akijifunza kiingereza atatoka yupo vizuri.
 
Puttin amefundishwa kwa Kiingereza kwa miaka 17 kama magu ?
Acha ukilaza wewe.
Swala ni kufundishwa au swala ni kujua lugha ? Mbona kuna wavtz wanajua kifaransa na wamejifunza tu online ...acha kuwa na sababu za kizwazwa una urge kama hujaenda shule ... Kingereza anajua il sio fluent kama cha muingereza
 
We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?

Kwanza gramatically yupo sahihi tatizo lako umekariri lugha !
Hivi wazungu wakija kwetu huwa wanaongea kiswahili sanifu?
Everyone have his own......Ni sahihi ????kiingereza cha darasa la tatu poti.
 
We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?

Kwanza gramatically yupo sahihi tatizo lako umekariri lugha !
Hivi wazungu wakija kwetu huwa wanaongea kiswahili sanifu?
Hapana hata grama hayuko sawa. Nafikiri ilitakiwa aandikiwe kama hotuba . Mkuu kaongea broken mwanzo mwisho . hii ina reflect mfumo wetu wa elimu ambao haueleweki tuna emphasize lugha gani . cha mhimu ntacho kubaliana nawe nikwamba japo kababaika kwenye lugha , ujumbe wake ameufikisha
 
We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?

Kwanza gramatically yupo sahihi tatizo lako umekariri lugha !
Hivi wazungu wakija kwetu huwa wanaongea kiswahili sanifu?
Mwenzetu mama yako sio mwanamke?
Mbona unakosa hekima kiasi cha kuwatukana kina mama aisee, grow up men, jiheshimu, lets wisdom lead your way!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom