Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ndio maana anaogopa kwenda Ulaya. Lugha ya malkia sio mchezo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli sijui!Andika kiswahili English hujui
Hii lugha ya malkia si ya kukurupukia hovyo!Kwani hicho kingereza kwa waliomtangulia kimetufikisha wapi?
Hikihiki kiswahili chake now kimetufikisha mahala ambapo tumesogea.
Amezaliwa tanzania, atakufa na utanzania, Anawaongoza watanzania na yeye ni mtanzania na anakitangaza kiswahili cha tanzania ulimwenguni.
Ukumbuke ukalimani ni kazi kama kazi inayokufanya uishi.. kwa namna nyingine umedharau na umekidharirisha chama cha wakalimani.
Kwa hiyo wewe na upuuzi wako ulitaka asemeje??Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Wewe unajua kiswahiliAcha kurushia keyboard mate..
Hajui Kiingereza.
Yaani nilicheka sana, duu , mtu wa PHD hawezi kuzungumza simple sentence? Yaani kweli elimu ya kuunga unga ni balaaJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
[/Q
katia moyo konde, kaongea kingereza chake cha Ras Simba , ila nampongeza aise, na nawashauri UVCCM waweke mabango ya kumpongeza kujitahidi kuongea kingerezaJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
phd yake ina kingereza kizuri tu, watanzania sijui mna shida gani, kwani kiswahili chake si kizuri tumwacheni bana raisi wetu mbona ameongea safi tu ingawaje flow yake kidogo hipo kisukuma zaidi[emoji23][emoji23] sio zile asemaga mwenyewe u know u know hata Marekani hajaenda
Mchakato wa PhD unatoa mwanya kwa wanaopitia sura (chapters) za andiko lako (thesis) kurekebisha penye makosa. Pia ipo fursa ya kumtumia mzungumzaji wa kiingereza kama lugha mama kukurekebishia LUGHA sehemu fulani fulani. Kwa maana hiyo NDIYO inawezekana 100% kwa mwenye PhD iliyoandikwa kwa kiingereza kukiboronga pale anapokuwa mwenyewe na akakizungumza. Kwa vyuo vikuu vya ulaya tatizo hili linawakumba sana wasio wazungumzaji wa kiingereza kama vile Wachina. Tatizo la jumla ni kwamba kwa nchi ambazo ni wanachama wa Jumuiya ya Madola basi inatarajiwa HASWA wasomi wake KUTOKUWA na upungufu wa lugha ya kiingereza kwa sababu ndiyo lugha ambayo mara nyingi hutumika kama lugha ya kufundishia mashuleni na vyuoni.Ukweli Rais hajui kiingereza. Ni aibu kubwa kwa mtu mwenye PhD.
Usitake ku justify upuuzi!! Eti putin hajui English!! Ndio kuhalalisha makosa ya jiwe?? Tatizo lake wala sio kuwa na zee, zeee nyingi bali ni makosa ya kiufundi, ambayo yapo wazi hata kwa mtoto wa grade 3 aliyefundishwa vizuri hawezi fanya,sasa phd holder kweli tenses nazo ni shida?!!! Mala matumizi ya, 'have' na has hujui!!?? Na english ndio lugha aliyoitumia kujifunzia toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu?!!! Tofauti ya ai hostess na hostage hajui?!! Putin hata kama angekuwa hajui yeye English kwake sidhani kama ni lugha ambayo ameitumia kujifunzia darasani.we una angalia kingereza embu angalia alichoenda kukifanya kule malawi kina faida sana kwa taifa ndugu,.... swala la upanuzi wa bandari ya mtwara litaleta ajira kwa vijanaaa, miji kama ya nyasa itachangamka sanaa kibiashara,... ujenzi wa HEP project ni faida pia kwa taifa ..kingereza sio issue bro ata putin hajui english
Mkuu povu la nini? Hapa ndipo waafrika tunapokuwa wanafiki wakubwa, hoja iliyopo je ni kweli kingereza alichoongea kipo sahihi? Grammatically?, na mbona ni makosa ya kitoto sana kwenye lugha? Na makosa yake mengi ni hayo hayo siku zote na kwenye tenses!! Unakuja mala kuishi kwa vyupi hayo yanatoka wapi?Haya madanga ya zama zile yanakera kweli, tunajua maisha yamebana na mjipange kuzoea kutokuishi kwa vyupi, eti kingeleza..utumbo mtupu, wamekuambia hawajaelewa?