Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mpuuzi kweli kweli wewe, kwa hiyo makonda hana vyeti vya kufoji? Daud Bashite ni nani?
Hatuangalii cha certificate wala nini, hapa tunachoangalia utendaji wake wa kazi jamaa alikua anajituma sana, na alikuwa msaada kwa wagonjwa, walemavu n.k. ebu niambie wa kabla yake nani aliefanya hayo??
Si ajabu wewe ni chaggadema,,,na uraisi mtausikia tu.