Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Waabongo wengi mko kama mna umtindio wa ubongo, sijui mliambiwaga na nani kua kingereza ndiyo uungu huku duniani,wanaoomgea hicho kingereza bado hawawezi kuongoza nchi kwa kiwango chake,sasa hiyo lugha ya washenzi inasaidia nini hapa Afrika? Nyie ndo wale ambaokipeleka watoto shule hizo wakiongea lugha ya kigeni mnaamini wako vizuri na kujisifia mitaani kua mtoto wako anaongea kingereza na mwisho wa siku toto linaishia kua lishoga

Hawa ni chadema mkuu, hususani hukoo kaskazini. Kazi yao kubwa ni kukosoa tu,, na ndio maana hakujawahi tokea raisi kwenye ukanda wao.
 
Acha kurushia keyboard mate..
Hajui Kiingereza.
SAWA WEWE UNAYEJUA KIINGEREZA UMEMZIDI NINI WAKATI HATA UMONITA NYUMBANI KWAKO HUNA LAKINI YEYE NI RAIS NA DUNIA INAMTAMBUA KULIKO WEWE MBURUKENGE HATA MTAANI KWENU TU UKITAJWA JINA WANAANZA KUULIZANA HUYU NDIYE NANI ZAIDI YA YOTE MAGUFULI SIYO RAIS WA WAINGEREZA TULIZA MSHONO NA ULIMBUKENI WAKO
 
SAWA WEWE UNAYEJUA KIINGEREZA UMEMZIDI NINI WAKATI HATA UMONITA NYUMBANI KWAKO HUNA LAKINI YEYE NI RAIS NA DUNIA INAMTAMBUA KULIKO WEWE MBURUKENGE HATA MTAANI KWENU TU UKITAJWA JINA WANAANZA KUULIZANA HUYU NDIYE NANI ZAIDI YA YOTE MAGUFULI SIYO RAIS WA WAINGEREZA TULIZA MSHONO NA ULIMBUKENI WAKO


Tatizo watanzania wengi ushamba umewazidi mkuu. Wanafikiri kujua kiingereza ndio kufaulu maisha 😁😁
 
Hizo ndio kazi za mkuu wa Mkoa?

Kazi za RC kwa akili zako matope;
1; Kusaidia Wagonjwa.

2. Kusaidia Walemavu.

3. Kusaidia kupatanisha ndoa na wajane waliodhulumiwa.

4.Kuvamia clouds.


KAZI ZA KANDORO/MAKAMBA

1. Kusimamia zoezi la kuondosha wavamizi mabondeni na kupatiwa viwanja mabwepnde.
2. Kusiamia ujenzi wa miundombinu ya DART.
3Kupambana na wauza uchi kinondoni moscow, samora, makaburini na sinza.
4. kutafuta wawekezaji wa kimataifa kupitia EPZ.
5. Kusimamia wilaya zote za Dar, na shule.

NB: Wewe kidogo uwe ndondocha, maana akili yako ipo hivyo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe ndo uko hivo sio watz..... Mi najiuliza tu wkt wenzake wanajifunza kiingereza yeye alikua anafanya nini??

Hii aibu wakenya wakisikia si itakua balaa[emoji3][emoji3]
Aiseee
 
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Sa kwanini tunatumia kingereza kwenye shughuli zetu nyingi za kibiashara zinazotuletea maendeleo kama vile banks and school
 
Labda rais wa chato...... Lkn Rais wa jmt ni TUNDU Lissu

Huyo mnyaturu namkubali sana, ila kwa chaggadema asahau uraisi wa jmt. I wish aende ccm tu, chaggadema anapoteza muda.

Kinachonikera wanachadema ni Udini + Ukabila, na itawacost sana.
 
Huyo mnyaturu namkubali sana, ila kwa chaggadema asahau uraisi wa jmt. I wish aende ccm tu, chaggadema anapoteza muda.

Kinachonikera wanachadema ni Udini + Ukabila, na itawacost sana.
We mbwa unamjua Sheikh Ponda.....???

Kwa Maneno chadema ni wadini lkn kwa vitendo serikali ya magufuli waislamu ni 15% ya viongozi wote huku wakristu ni 85%....... Mnaacha kushughulikia udini wa ccm mnahangaika na chadema kweli ccm hakuna mtu mwenye akili timamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom