Kiingilio cha Gezaulole kilivyobadilika kutoka Jembe / Panga na kuwa PESA.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Wakuu,

Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa wanakamatwa na kuletwa wakati wa Kilimo cha kufa na kupona, wakati huo ni pori tupu likiwa na Simba wengi sana.

Huku ndipo kiingilio kilikuwa Jembe na Panga tu, unafika kule unatafuta pori lako unaasha maisha mapya... basi leo kiingilio si Jembe wala Panga kiingilio ni Pesa yako tu, suala la Jembe halipo tena, ni mji unaokuwa kwa kasi ya ajabu.

Nikasema kimoyomoyo leo Mwalimu angekuwa hai aje apite mitaa ya Gezaulole / Mwanadiratu, Kibugumo angeshangaa sana, maisha ya mwanadamu yanakwenda kwa kasi ya ajabu. Vitongeji kama Kimbili, Mwanadiratu, Kibugumo na Songasonga kote huku kiingilio si Panga na Shoka tu bali nie PESA yako.

Mtunzi wa wimbo huu hapa chini anasema yeye alikata shauri kwenda Geza, anasema kwamba kitambulilsho cha Gezaulole ni Jembe na Panga lako na hiyo ndiyo ilikuwa certificate ya mtu mwenye busara, kwamba haya ndiyo makao ya wanamapindizi !! Wimbo huu umenikumbusha mbali mno hasa kwenye Operation vijiji vya ujamaa.

Ni hayo tu msomaji wangu katika siku ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere . Burudika na wimbo huu kutoka Urafiki Jazz Band.

Gezaulole ya mwaka 1970 kiingilio kumbe ilikuwa ni Jembe na Panga lako tu, wakazi wa Geza kesho nipokeeni huko nishakata shauri nishanunua Jembe na Panga langu tayari, nakuja kutafuta makao mapya.

FUSO kwanza nikushukuru sana kwa bandiko hili. Haya majina na huu wimbo nimekuwa nausikia sana lakini nilikuwa sijashika spelling zake na nilikuwa sijui haya maeneo yako wapi. Kweli siku zinakwenda kwa kasi sana ila jiji la Dar limejengwa na linaendelea kujengwa bila mpangilio maalum. Kila sehemu zinajengwa nyumba bila kuacha sehemu za wazi na hata maeneo mengine yawe na mapori madogo madogo.
 
Gezaulole Pamejengeka sana. Tuna viwanja vilivyopimwa Kigamboni gezaulole aisee. Bei ni 17,000 @sqm

Naomba muwahi usije jutia baadae. 0762815104

IMG-20211012-WA0066.jpg
 
Tegeta pia ilikuwa ni pori/mwitu.
Wafanyakazi wengi wa Dar walikuwa na mashamba kimara.
 
Back
Top Bottom