KIINI CHA KUFUNGWA SHULE YA SEKONDARI KIBITI (Vurugu zenye mlengo wa kidini)

KIINI CHA KUFUNGWA SHULE YA SEKONDARI KIBITI (Vurugu zenye mlengo wa kidini)

MNYAMAHODZO kwanza nikupongeze kwa mambo mawili, moja ni kwamba jina lako na avatar yako vimesadifu kwelikweli,safi sana. Pili, wewe ni mwandishi mzuri sana,umeiandika stori hii vizuri sana kimtiririko na it seems you are well informed na hubahatishi.
Maoni yangu ni kwamba pamoja na ukweli kwamba shule imefungwa kupisha shari na kuruhusu uchunguzi zaidi kufanywa,naona haki haijatendeka sana.wale viongozi waliohudhuria kongamano kule kibaha ndio walitakiwa washughulikiwe kama akina PONDA, FARID na wengine lakini wakristo wapewe fursa ya kuendelea na masomo kwani wao siyo waliopanga vurugu hizo.lakini pia wapo waislamu wazuri tu tena wengi wanaopenda kusoma na kufikia malengo yao,walindwe wasome na wajiandae kwa mitihani ya kidato cha sita.
[MENTION]JERUSALEM[/MENTION] nashukuru kwa kunitia moyo.

Asante.

Tuko pamoja..
 
Waislamu wamechukua utamaduni wa Waarabu wa kupenda kufundisha chuki.
Mbaya zaidi wanawafundisha chuki watoto.
Hata ukiwaachia nchi yote lazima watatafuta lingine la kulianzisha, wakishindwa watapigana wao kwa wao.
 
tunapoelekea siko, ona sasa dhambi hii imeanza kuwatafuna hata vijana wetu loooh my poor country TANZANIA unaelekea wapi???
 
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kupandikiza mbegu ya chuki kwa vijana wao?
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kuwachukia wenzao?
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kuwazuia wengine wasitumie fursa hiyo ya kuwapo shuleni?

Watafaidika nini kutokana na kupanda mbegu hizi?
Ni jamii gani katika ulimwengu wa leo inaweza kuendelea bila shule?

Kwanini serikali inawanyamazia kimya wapanda mbegu za chuki kwa wanafunzi?
Ni nani aliyeweka masharti hayo ya tanki la maji watumie wanafunzi wa dini fulani tu? Mbona wengine hatukusoma hivyo?

Mkuu najikuta ni maswali lukuki.

Nakala kwa Ritz
 
Last edited by a moderator:
magaidi mapaya hayo yanaandaliwa kuja kuwarithi kina ponda na farid... Wazimwe upesi kama wenzao wa ndanda
 
tuache siasa za ccm na chademe hapa, hizi ni seriuos sana, ninachojua kusali ni maandalizi ya maisha ya kifo, na anayejua maandalizi sahihi ni yapi, sasa kulazimisha mimi nifuate imani yako hata naona inakosea ni ujinga sana. Unataka mchinja mtu/ rafiki yako sababu haendi msikitini inatisha sana. mtu mwenyewe unaetisha utakuta ni mwizi, malaya na sifa nyingi mbaya ila kuzaliwa kwenye familia ya kiislam tu unajiona mwenye haki.
Kukaa kimya haimanishi ni kuogopa ila ni kuacha kupoteza muda na mpuuzi. Mke wangu nyumbani akikwazwa kidogo ataongea sana hadi matusi anatukana ila kidume nakaa kimya na kuendelea na shughuli zangu, siku moja akaniuliza mbona umekaa kimya kwani naongea upuuzi tu, nikamjibu ndio na nikaondoka kwenda kupiga maji akalia wiki nzima baadaye akaniomba msamaha.
 
Nachoona habari imeegemea upande mmoja. hazijabalance. mtoa habari tuhabarishe upande wa pili.

Nimesikia kuna habari za kupelekwa nguruwe mabwenini. tunangalie hilo kama ni kweli je ndio kupandikiza mbegu za chuki au ni kukosa ustaarabu na kuheshimiana? Na ili waislam waonekane ni watu poa wakubali tu kuliwa kwa nguruwe mabwenini?
Na Amini Yasini, Rufiji (email the author) Gazeti Mwananchi

[TD="align: right"] Submit Cancel [/TD]

Posted Ijumaa,Novemba16 2012 saa 14:9 PMKwa ufupi
Shule hiyo imefungwa na Bodi iliyokutana kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa matatizo yanayoweza kujitokeza utokana na hisia za kidini zinazozidi kukua kwa kasi shuleni hapo

SHARE THIS STORY

SHULE ya Sekondari Kibiti imeifungwa shule kwa madai ya mgogoro wa kidini hivyo wanafunzi kupewa saa mbili kutoonekana shuleni hapo vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Kufungwa kwa shule hiyo kumefikiwa na Bodi iliyokutana na kuamua kuifunga shule hiyo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa matatizo yanayoweza kujitokeza kutokana na hisia za kidini zinazozidi kukua kwa kasi shuleni hapo.

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu, amethibitisha kufungwa kwa shule hiyo.

“Sipo Rufiji lakini nimejulishwa kuhusiana na kufungwa kwa shule hiyo,”alisema kwa ufupi.

Chanzo cha kufungwa kwa shule hiyo inadaiwa kuwa ni malalamiko ya pande zote mbili baina ya wanafunzi Waislam na Wakikristo ambao wamekuwa wakilaumiana kila upande kudhalilisha dini ya mwenzake hapo shuleni.

Mmoja wa wanafunzi hao wa dini ya kiislam ambaye aliomba asitajwe jina na kudai kuwa waislam wanalalamika kuwa wakiwa wanafanya ibada katika eneo hilo wenzao wa dini ya kikristo huwafanyia fujo.

Alisema kuwa sababu nyingine ni kwamba wanafunzi wenzao siku moja walikwenda kutafuta nyama ya nguruwe na kuja kuitumia katika vyombo vinavyotumika shuleni hapo.

Kwa upande wa wanafunzi wa kikristo wao wanasema kuwa wanafunzi wenzao walichana chana Biblia na kuchoma ofisi yao ya kidini iliyopo hapo shuleni .

Alisema kuwa bodi ya shule imelazimika kuifunga shule hiyo kwa muda usiojulikana ili kuepuka vurugu kutokea shuleni hapo ili wapate muda wa kupata ufumbuzi wa mgogoro huo.

Mmoja wa wanafunzi hao alisema kuwa wanafunzi hao walilalamikia suala hilo kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi na ndipo kukawa na mgomo wa hapa na pale wakiutuhumu uongozi wa shule hiyo kwa kushindwa kuthibiti malalamiko hayo.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana Mkuu wa shule hiyo, Leslaus Kihongosi alithibitisha kufungwa kwa shule hiyo lakini akasema kuwa hawezi kuwa msemaji wa suala hilo kwa kuwa sio mmiliki wa shule hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji anayedaiwa kuwa mmiliki wa shule hiyo Nasoro Mwingira alipoulizwa kuhusiana na kufungwa kwa shule hiyo alisema kuwa amepata taarifa za tukio hilo.

“Nasema kwa sasa siwezi kuzungumza jambo lolote kwa kuwa naelekea kwenye tukio nipo njiani,”alisema.

Diwani wa kata ya Mtawanya iliyopo shule hiyo ya kitaifa, Rashidi Mkinga alipoulizwa kuhusiana na tukio hilo alisema kuwa analisikia mitaani na hakushirikishwa katika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo na yeye hawezi kusema lolote.

Haijafahamika mgogoro wa kidini baina ya wanafunzi wa dini mbili hizo umeanza lini kutokana na wahusika kukwepa kulizungumzia suala hilo huku wakitupiana mpira.
 
ndio maana enzi zile kama wewe wa kilwa shule unapelekwa mtwaraa, songea, dodoma, mwanza nk, na hivyo hivyo wafanyakazi wa serikali na waalimu nk ili watu tufahamiane na kuheshimiana
 
sasa hivi wakuja akipewa kiwanja sehemu fulani ni issue
 
mmmh aisee hali ni mbaya sana sasa kama mambo yameanza kuwa hivi
 
Mbona ndiokwanza harakati zinaanza wcristo mnaanza kujamba baada ya kuchoma makanisa sasa tuna kuja na mziki wa bokoharam mpaka tuna komboa nchiyetu tuliyo mkabidhi baba yenu nyerere kwahiyo napenda niwaambie kwamba dhulma ime fika mwisho
 
Huyo Ponda na wenzie hufanya maamuzi yao au mambo yao kwa kupokea maelekezo toka kuzimu na kurubuni watu wafanye mambo ya ajabu ili kuleta umwagaji damu..!! Iko hivyo na si yeye tu hata baadhi ya viongozi wakubwa katika nchi hii hawasemi tu ila wako katika mipango hiyo hiyo ya kina ponda... Najua kuna watu watauliza kivipi, nachokwambia ni kaa vizuri na Mungu (wa kweli, wa mbinguni) utajua (maana chini kuzimu kuna mungu au baba wa uongo - shetani ambae kina ponda wanamuabudu)...
 
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kupandikiza mbegu ya chuki kwa vijana wao?
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kuwachukia wenzao?
Kutokupenda shule ndiyo iwe tiketi ya kuwazuia wengine wasitumie fursa hiyo ya kuwapo shuleni?

Watafaidika nini kutokana na kupanda mbegu hizi?
Ni jamii gani katika ulimwengu wa leo inaweza kuendelea bila shule?

Kwanini serikali inawanyamazia kimya wapanda mbegu za chuki kwa wanafunzi?
Ni nani aliyeweka masharti hayo ya tanki la maji watumie wanafunzi wa dini fulani tu? Mbona wengine hatukusoma hivyo?

Mkuu najikuta ni maswali lukuki.

Duh mimi nilijua kawaida maana Hata Ilboru Secondary mpaka namaliza Form 6 2009 niliacha na nilikuta Kisima na Vyoo special vya waislamu pale nyuma ya Rum 7 waliopita ilboru wanajua! Yaan unajua segregation kwa itikadi ya kidini ipo sana tu mashuleni lakin utawala unapotezea mpaka kikinuka ndio wanajfanya ku react!
 
Nachoona habari imeegemea upande mmoja. hazijabalance. mtoa habari tuhabarishe upande wa pili.
l
Nimesikia kuna [color]habari za kupelekwa nguruwe mabwenini[/color]unangalie hilo kama ni kweli je ndio kupandikiza mbegu za chuki au ni kukosa ustaarabu na kuheshimiana? Na ili waislam waonekane ni watu poa wakubali tu kuliwa kwa nguruwe mabwenini?

Na Amini Yasini/U] Rufiji
Mmoja wa wanafunzi hao wa dini ya kiislam ambaye aliomba asitajwe jina na kudai kuwa waislam wanalalamika kuwa wakiwa wanafanya ibada katika eneo hilo wenzao wa dini ya kikristo huwafanyia fujo.

Alisema kuwa sababu nyingine ni kwamba wanafunzi wenzao siku moja walikwenda kutafuta nsyama ya nguruwe na kuja kuitumia katika vyombo vinavyotumika shuleni hapo.

Dostum , mbona unjichanganya? Hebu lisome jina la mwandishi wa hiyo habari katika Mwananchi akiandika kutoka Rufiji na kielewe kilichoandikwa. Hivi ni kweli mtu uwepo Rufiji halafu uandike habari too shallow like that, ushindwe kumhoji hata mwanafunzi mmoja wa kikristo? Ama!! Inaingia akilini kweli kumkosa hata mwanafunzi upande wa kiislamu aliyekubali kunukuliwa kiuhalisia bila kyogops jina lake kutajwa endapo walikuwa wanaonewa kweli?

Ninachofikiri na kuona ni kuwa, mleta mada ameileta katika mtiririko mzuri wa nini kilitokea lini. Sasa, huyo Amini ukimsoma vizuri amefunika mambo wakati huohuo akiwa analinda upande fulani.

Jambo la pili, utajifunza ni kuwa huenda hajawahi kusoma shule za bweni kwahiyo anataka kuwadanganya watu akifikiri nao hawakusoma kama yeye,ila Dostum umepatikana na inaonekana ni mshiriki mzuri wa uongo kama mwenzako.
Jamani, mliosoma bweni hivi inawezekana vipi wanafunzi kubeba nguruwe ama nyama wazi na kupeleka bwenini ambako kuna waislamu? Hebu someni hizo nukuu za hapo juu.
Utamdanganya nani kuwa wanaweza kubeba masufuria makubwa au serving pots kutoka nazo nje ya shule wakanunulia kitimoto kisha kurudi nazo shuleni, eti wanaingia nayo bwenini na kulia huko. Mkawadanganye hao wasio kwenda shule.
Tulipokuwa Iyunga na Rungwe Sec, tumekula sana kitimoto.Tulikuwa tunakwenda kununua kitaa, kinapikwa huko huko.Mnakuja kuchukua bondo lenu shuleni na kwenda kulia pori au nyumba ya mwalimu best yenu. Mnaosha vyombo vyenu na kurudi shuleni swaaafi. Kila mtu shuleni anaishi kwa bakuli na kijiko chake.
 
Kwa mtindo huu, mtu mwenye akili timamu hatakuwa radhi kujiunga na uislamu. Huku ni kubomoa badala ya kujenga, ikiwa mimi sina dini nitaamua kuifuata DINI INAYOHUBIRI HERI badala ya DINI INAYOHUBIRI SHARI, malalamiko yasiyoisha, kujitoa mhanga n.k. Mwenye akili timamu na ufahamu sahihi atajua kupambanua jema ni lipi na ovu ni lipi.
 
ndio maana enzi zile kama wewe wa kilwa shule unapelekwa mtwaraa, songea, dodoma, mwanza nk, na hivyo hivyo wafanyakazi wa serikali na waalimu nk ili watu tufahamiane na kuheshimiana

Shule hii ni ya A level, inakusanya wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii. Kadhalika ina walimu kutoka sehemu mbalimbali. Ila kuna mwalimu katika majina yake kuna herufi hizi NJL should be watched more than once with an extra eye.

Iko katika Bonde la Mto Rufiji na niliwahi kunong'onezwa kwamba ilijengwa na wa-Israeli (wayahudi) miaka hiyo tulipokuwa na ushirikiano nao.
 
Dostum , mbona unjichanganya? Hebu lisome jina la mwandishi wa hiyo habari katika Mwananchi akiandika kutoka Rufiji na kielewe kilichoandikwa. Hivi ni kweli mtu uwepo Rufiji halafu uandike habari too shallow like that, ushindwe kumhoji hata mwanafunzi mmoja wa kikristo? Ama!! Inaingia akilini kweli kumkosa hata mwanafunzi upande wa kiislamu aliyekubali kunukuliwa kiuhalisia bila kuogops jina lake kutajwa endapo walikuwa wanaonewa kweli?

Ninachofikiri na kuona ni kuwa, mleta mada ameileta katika mtiririko mzuri wa nini kilitokea lini. Sasa, huyo Amini ukimsoma vizuri amefunika mambo wakati huohuo akiwa analinda upande fulani.

Jambo la pili, utajifunza ni kuwa huenda hajawahi kusoma shule za bweni kwahiyo anataka kuwadanganya watu akifikiri nao hawakusoma kama yeye,ila Dostum umepatikana na inaonekana ni mshiriki mzuri wa uongo kama mwenzako.
Jamani, mliosoma bweni hivi inawezekana vipi wanafunzi kubeba nguruwe ama nyama wazi na kupeleka bwenini ambako kuna waislamu? Hebu someni hizo nukuu za hapo juu.
Utamdanganya nani kuwa wanaweza kubeba masufuria makubwa au serving pots kutoka nazo nje ya shule wakanunulia kitimoto kisha kurudi nazo shuleni, eti wanaingia nayo bwenini na kulia huko. Mkawadanganye hao wasio kwenda shule.
Tulipokuwa Iyunga na Rungwe Sec, tumekula sana kitimoto.Tulikuwa tunakwenda kununua kitaa, kinapikwa huko huko.Mnakuja kuchukua bondo lenu shuleni na kwenda kulia pori au nyumba ya mwalimu best yenu. Mnaosha vyombo vyenu na kurudi shuleni swaaafi. Kila mtu shuleni anaishi kwa bakuli na kijiko chake.

Nimependa namna ulivyomjibu na kumwonyesha anaupeo gani wa kuangalia mambo. Big up!!
Nimetia rangi na bold kwa msisitizo tu.
 
[MENTION] Dostum[/MENTION], unafikiri ni kwanini wanafunzi wa kiislamu walikwenda kukutanika pale msikitini jirani na shule, sio ile masjidi ya shuleni, na kukawa na maongezi ya muda mrefu wakati wenzao wanasafiri na wengine wanasubiri usafiri?
 
Back
Top Bottom