masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
SMZ, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ni matokeo ya mapinduzi yaliyo mwondoa Sultani wa Zanzibar mwaka 1964.
Siyo siri, mgawanyiko wa kiasili uliokuwepo kwa karne na karne huko Zanzibar hadi leo bado upo.
Wakati SMZ, iliundwa na waliopindua, haswa waafrika, waliopinduliwa walikuwa waarabu.
Katika kujadili matatizo ya CUF, na CCM-Zanzibar kiini hiki hakiwezi kukwepeka.
Vile vile siyo siri kuwa kwa sasa waliowengi wanaoiunga mkono CUF ni wale waliopinduliwa na wanaoiunga mkono CCM Zanzibar ni waafrika na wasirazi waliopindua serikali ya Sultani wa Zanzibar.
Mgawanyo wa wananchi wazanzibar uko katika misingi hiyo, na haya tumejaribu ati muafaka wa kitaifa haujaondoa tofauti baina ya makundi hayo.
Kwa mantiki hiyo, kama alivyosema mama mmoja mwafrika/mshirazi, pale bungeni Dodoma, kuondoa SMZ kwa karatasi(kura) ni ndoto ya mchana.