masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #21
FNyie watoto wa juzi hamuoni historia kwa kutambua kuwa waliouliwa kabla ya mapinduxi walikuwa wengi zaidi ya unavyofikiri.Masopakyindi unahitaji kujifunza historia ya Zanzibar. Ukiacha mambo yaliyofanyika kabla ya mapinduzi, chuki kubwa na migawanyiko ilitokea baada ya mapinduzi. Mauaji ya wanasiasa/wataaluma, udhalilishaji na ubaguzi wa kishenzi.
Fuatilia mauaji ya Kassim Hanga na kukimbia uhamishoni kwa Wazanzibari wengi baada ya mauaji ya Karume.
Hizo stori za kurudishwa sultan ni habari za Wanasiasa muflisi.
Ukitaka kufaidi ya Zanzibar usiitathimini kwa mlengo wa Cuf au Ccm
Na hilo ndo tatizo kubwa la Zanzibar, kuondoa tofauti baina ya pande hizi mbili ni ngumu sana maana zimejengeka karne na karne.
Habari nyingine mwajichotea vijiweni, nendeni Zanzibar mukaishi ile hali halisi muone msuguano huo wa chini kwa chini.