Pona
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 1,099
- 647
Umejitahidi kuweka fact mkuu sema kuna mahala umezidisha kuweka chumvi sijui kwa kusudi au kutojua hiyo historia, kwanza unakusudia nini kusema Wapemba wako more intelligence ? kwa sababu hiyo historia inaonesha wapemba ni watu ambao walipenda utwana na ubwana uendelee kwa njia yoyote ile na hili lilionekana pale ZPPP walipounganisha kitu chao kwa kwa ZNP na kuwatosa ndugu zao ASP, tokea hapo wamepemba wameonekana watu wa hovyo kabisa kutokea na ndio kitu ambacho wanshindwa kujua kwanini watu wa unguja wanawaita kutu la ngombe.
Hamna cha uwongo hilo swala ata mtoto alozaliwa leo analijua kuwa Pemba ni Cuf na Cuf ni Mpemba hiyo hoja yako ya kina mansour na karume ni muflis kwani wao ni moja kati ya zao la hao pupet wa mkoloni mweupe, Mansour nani asiyemjua ok baba ake alikuwa mwanamapinduzi lakini mama ake alikuwa nani ? na sio lazima mtu afuate upande wa baba katika swala la siasa yeye ameamua kuenzi asili ya mama na wajomba zake ambao walifika kuuwawa kwa ubaguzi wa wazi unamjua Jinja wewe? karume anakesi sawa na huyo mansour inshort hawa wazee walijaribu kutaka kuondoa matabaka ya ubaguzi kwa kuwaowa hao mahizbu ila haijawork out watoto walozaliwa wamekuwa na uhizbu zaidi kuliko uwafro na hii ni kutoka na wao kujiona bora. Moyo sijui amepatwa na nini huyu mzee.
hao kina Haji Ameir, mbona wao pia wenyeji. hebu jipange uzuri naona kama unachuki na watu.
Ninaposema WAPEMBA NI MORE INTELLIGENCE ninamaanisha wako mahodari mno katambua zuri na baya au ninani mwema au mbaya kwao.
Hauwezi kuwatawala WAPEMBA visivyo halafu wasionyeshe upinzani kwako na wapatapo nafasi lazima watakuadhibu tu! Na ndio maana ni wao waliofunga safari kwenda Omani kuomba msaada wa kuja kumuondoa mreno Pemba na unguja sasa hii habari ya WAPEMBA kupenda sana utwana sijui umeitoa wapi!!!!!!
Kuhusu chama cha ZPPP kukataa kuchanganya nguvu na ASP ni Kama nilivyokwambia kuwa WAPEMBA ni maintelligents hivyo walijua fika ASP haikutokana na wazanzibar halisi bali watu walioletwa Zanzibar kwa malengo maalum!! Hilo tayari limejidhihirisha pale ASP ilipokubali kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika si umeona leo juu wasiwasi waliokuwa nao ZPPP!!!??? Leo CCM Zanzibar hawana hata uwezo wa kumchagua mgombea wao wa uraisi wanayemtaka bali wanaempenda CCM Tanganyika.
Kuhusu WAPEMBA Kuitwa KUTU ya ngombe hilo zaidi wanalijua wao kutoka unguja lakini uhalisia wa KUTU ya ng'ombe ni kuwa na tabia za kihadaa, KUTU ya ng'ombe inakawaida ya kukauka juu lakini ndani iko mbichi hivyo unapojaribu kuikanyaga mguu wako wote utajaa KUTU! Hii inaleta taswira ya kuwa WAPEMBA ukiwazadharau wanaweza wakakuchekea usoni huku moyoni wakiwa na chuki kubwa moyoni huku wakitafuta mbinu za kukudhihirishia chuki zao kwako!!
Kuhusu hoja za kina mansour na Karume hiyo sio hoja muflisi bali ni hoja inayoonyensha double standard ya CCM Zanzibar!!! Wako mbele kuhubiri usultani na uarabu Kama ni uadui lakini jambo la ajabu nusu na robo ya viongozi wa juu wa CCM Zanzibar wapatapo madaraka basi huwa hawaridhiki Kama hawana mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au ya Pemba!!! Anzia Seif Iddi, shamhuna na wengineo wengi ukifanya utafiti utaona na kujuwa.
Narudi tena kwa wenyeji wa asili ya Zanzibar hakuna chuki miongoni mwao bali watawala hupandikiza chuki miongoni mwa wazanzibar ili kuwagawa! Na hii ya upemba, uarabu, ushirazi, usultani moja wapo ya fimbo kubwa wanayoitumia watawala kuwagawa wazanzibar ili wawatawale Illa kiuhalisia hilo jambo haliko wala sio hulka ya wazanzibar maana asilimia 99% ya wazanzibar ni waislamu na uislamu unakataza haya mambo ya kujiona bora kwa rangi kabila au unapotoka.
