Kiini cha matatizo ya Zanzibar, Mapinduzi ya mwaka yaliyomwondoa Sultani

Kiini cha matatizo ya Zanzibar, Mapinduzi ya mwaka yaliyomwondoa Sultani

ukoloni mweusi zanzibar utaondoka kama ulivyoondoka ukoloni mweupe,ukoloni hauna rangi uwe mweusi au mweupe wazanzibar hawataki kutawaliwa,mwaka huu wanzibar washafanya mapinduzi yao kupitia sanduku la kura,mkoloni mweusi ni bora uiche zanzibar kwa amani lakini mukilazimisha nguvu ya wananchi haizuiliki kwa vifaru na jeshi,maamuzi ya wanachi yaheshimiwe.
 
Mkapa na wenzake wanachukia uchaguzi wa Karume kwa kuwa kwa kiasi Fulani aliponguza sana siasa za chuki Zanzibar siasa ambazo zilirudisha mno maendeleo ya Zanzibar na watu wake!! Sasa kwa Mkapa na viongozi wa CCM Tanganyika hili hawalitaki Maana wanaelewa fika kuwa siku wazanzibar watakapoacha siasa zao za kuchukiana na kuwa kitu kimoja basi huo ndio mwanzo wa Zanzibar kuondokana na mkoloni mweusi.

Hilo la Karume la kuwafanya WAPEMBA wawe wakimbizi na leo wanamkumbatia huyo huyo Karume Hilo sidhani nijambo la ajabu!! Wako watu walikuwa ni waovu zaidi ya Karume lakini mwisho wa siku wakawa ni watu wema na wenye manufaa kwa hao ambao walikuwa anawafanyia ubaya!! Kama wewe ni mkristo unaelewa fika aliyoyafanya Paul kabla hajakuwa mtume wa wakiristo au Kama ni muislamu basi unajua jinsi sayyidna Ally kabla hajaingia uislamu.

Kuhusu Karume kama alivyosema mwenyewe baaada ya lile tukio waliwatuma watu kwenda sehemu mbalimbali kuomba msamaha na kuahidi kuwa kitendo kile katu hakitojirudia tena na hilo amelitimiza.!! Nakumbuka kitendo kile walikifanya Polisi ambao ni kitengo kilicho chini ya serikali ya muungano ambayo ilikuwa chini ya Mkapa hivyo Mkapa ndio muhusika mkuu.

Hilo la WAPEMBA kuwabagua ndugu zao asp nadhani nimeshakujibu kuwa waliwatambuwa kuwa wale sio wenzao!!! Au unajifanya hujui kuwa kambi iliyoandaa mapinduzi ilikuwa sakura tanga chini ya mvamizi mwengine Okelo!?

Hilo la mahizbu la kuwatesa wazanzibar weusi ni katika muendelezo ule ule wa ukitaka kumuuwa mbwa basi mpe jina baya!!! Sasa hizo stories zako za kupasua wanawake wenye mimba, kutoboa watumwa miguu na Kuwatia minyororo, kumpiga mtu bunduki akiwa juu ya mnazi ninakuwachia nazo mwenyewe pamoja na mapicha yako yakuchora au yakuchonga Kamayaliyopo pale kanisa la mkunazini.

Mwisho Karume alitambua hawezi kuwatawala WAPEMBA kwa maonevu halafu wakakuchekea, nilazima watakupinga japo kwa siri ikiwa kwa dhahiri hawawezi ndio Maana akaja na hilo la KUTU ya ng'ombe!! WAPEMBA sifa yao kubwa ni kumtambua ni Nani adui au rafiki yao.
Kwa ulalamishi hamjambo
Kwa hamaki hamjambo
Kwa kuwa na gubu hamjambo

Lakini watanzania wapenda maendeleo hawatawasubiri nyie mridhike ndo waendelee mbeke, mtabaki nyuma daima kwa hizo anti social characters zenu.
Halafu ati mnataka mtu kama Maalim atawale, atatwala vipi kwa tabia kama hizi.
No wonder hamjengi kwenu, kiguu na njia kulalamika all over the world.

Lakamikeni lakini msitubugudhi!
Akhaaaaaaa!!
 
SMZ, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ni matokeo ya mapinduzi yaliyo mwondoa Sultani wa Zanzibar mwaka 1964.

Siyo siri, mgawanyiko wa kiasili uliokuwepo kwa karne na karne huko Zanzibar hadi leo bado upo.
Wakati SMZ, iliundwa na waliopindua, haswa waafrika, waliopinduliwa walikuwa waarabu.

Katika kujadili matatizo ya CUF, na CCM-Zanzibar kiini hiki hakiwezi kukwepeka.
Vile vile siyo siri kuwa kwa sasa waliowengi wanaoiunga mkono CUF ni wale waliopinduliwa na wanaoiunga mkono CCM Zanzibar ni waafrika na wasirazi waliopindua serikali ya Sultani wa Zanzibar.

Mgawanyo wa wananchi wazanzibar uko katika misingi hiyo, na haya tumejaribu ati muafaka wa kitaifa haujaondoa tofauti baina ya makundi hayo.

Kwa mantiki hiyo, kama alivyosema mama mmoja mwafrika/mshirazi, pale bungeni Dodoma, kuondoa SMZ kwa karatasi(kura) ni ndoto ya mchana.

Kweli elimu,elimu,elimu. Tuna safari ndefu sana kama mawazo yenyewe ndo haya
 
Maneno mazito hayo ndugu yangu.
Halafu ikaweje?
MuOman aliponogewa baada ya kualikwa na waZenj sili akamua kuwafanya watumwa au siyo.
Akaamua kupanda minazi baada ya kuwanyag'anya ardhi yao, haafu akaamua kwa upendo mkubwa kuwatumikisha mashambani na kuwaita wakwezi na watwana.!!
Upendo mkubwa huo!

Na baada ya waafrika kushiba upendo wa waOman wakaamua kuwashikia majambia mwaka 1964 na kuwakata kata kwa upendo mubwa.

Halafu hali ikawa shwari ever since!!!
Mkuu ama ulikuwa naThesis na abstract ya aina hiyo, wala usijisumbue kufanya research, nakupa PhD moja kwa moja!!!!

Kwanza nataka utambue hakuna mwenyeji mwenye asili ya Zanzibar aliyefanywa mtumwa na ukimuona mtu yuko Zanzibar na ajifanya wazazi wake waligeuzwa watumwa basi ujue huyo alikuwa mtumwa kutoka Tanganyika aliekuja kutumikishwa kupanda minazi na mikarafuu ambayo tokea wakati huo hadi Sasa ndio nguzo moja muhimu ya uchumi wa Zanzibar

Waafrica wenyeji wa Zanzibar hakuna hata mmoja alieshika majambia, mashoka wala bunduki kumuuwa ndugu yake wa kiarabu, wakihindi, waliochanganya damu au wa kutoka Pemba! Kazi kubwa ya ukatili iliyofanywa ya kuwauwa wenyeji wa Zanzibar zaidi ya elfu 20000 ilifanywa na watanganyika waliopata mafunzo ya ukatili katika kambi ya sakura tanga chini ya katili Okelo, na hili analithibitisha Mh. Abeid Aman Karume pale moja ya hutuba yake inaposema sisi hatukupindua bali tulikuwa mashahidi ambao baadae tukapewa kuongoza!! itafute clip yake YouTube umsikilize.

Halafu kuna huu ujinga na upumbavu unaofanywa wa kuwaona wazanzibar ni watu wakulishwa maneno ya uongo kila siku!! Ninani asiejua kuwa karibu Africa yote ilikuwa koloni la mataifa ya nje lakini katu hatujawahi kusikia mwengereza atarudi Kenya pindipo kanu ikiondoka madarakani, au mjarumani atarudi Tanganyika Kama CCM itaondoka madarakani, au wabelgiji watarudi Zaire, au mreno atarudi Angola na msumbiji.!!!!! Bali Africa nzima atakaerudi kutawala tena ni mwarabu pekee tena pale tu upinzani utakapoingia katika kuongoza nchi!!!!!! Hili ni jambo la ajabu mno kusemwa na mtu aliestaarabika!!!

Watanganyika hasa CCM watambue kuwa wazanzibar wa leo M/Mungu ameshawaamsha kutoka kwenye usingizi wa propaganda hizi hivyo katu haziwezi kufanya kazi tena na zikawafanya wamsahau adui yao.

Kama mwarabu atarudi basi sio mwarabu pekee atakaerudi bali hata Waafrica wenyeji wa Zanzibar ambao walikimbia ukatili wa watanganyika ambao walikuja kupindua uongozi halali uliochaguliwa na wananchi wa Zanzibar nao watarudi! Kwasababu wameacha mashamba na mali zao nyuma ambazo baadhi ya waliopewa kinguvu na serikali tayari wameanza kuwarudishia kwa hiyari yao wamiliki wake, Hii ni baadae ya kutambua ubaya wa mali ya dhulma
 
Ukiwa mwongo ujue na kuisoma historia!
Revolutionairies.jpg

Na hao ambao babu zenu walikuwa wanawaita wakwezi na watwana, umewaona eeh!!
 
Kimsingi Maalim seif inasemakana ni mtoto wa Sultan Aliepinduliwa...
 
Upende usipende ukweli uko pale pale.
Zanzibar kuna makundi hasimu yanayotokana na mapinduzi ya 1964.

Na huo ndo mzizi wa fitna.
Makundi hayo nimeyaeleza hapo nyuma.
Haingii skilini kwamba Naalim Seif peke yake ndo anagombea urais kutoka upinzani tokea mwaka 1995 hadi leo akiwa kama sultani wa upinzani!
Na hicho ndo kielekezo cha "demokrasia" unayoiongekea hapa.
Na CCM kung'ang'ania madaraka hata wanaposhindwa uchaguzi ndio demokrasia unayoitaka?

CCM imeshindwa chaguzi zote kuu Zanzibar tangia 1995. Kama CCM wangeachia madaraka kwa Seif, Katiba inatoa mihula 2 tu. Seif angestaafu baada ya kukalia kiti cha urais kwa mihula 2. Seif angekosa sifa ya kugombea Urais wa Zanzibar 2010 lakini mnamuibia chaguzi na ushindi wake. Leo mnapata wapi ujasiri wa kusema jamaa ni sultani badala ya kusema CCM ndio Sultani wa Tanzania na Zanzibar.?

CCM inabaka demokrasia. Upende usipende, huu ndio ukweli.

Kwa CCM zisipotosha, Zinatoshelezwa na NEC-ZEC. Huo ndio mzizi wa fitina.
 
Mkuu, Sultani ni cheo cha mtu kwa kurithi.
Maalim amekuwa akishikilia CUF kwa zaidi ya miaka 20 , a persons life time.
Siwaungi mkono CCM, lakini ingalau mfumo wao si kisultani, uongozi unabadilika, tena si wa kindugu au familia.
 
Ukiwa mwongo ujue na kuisoma historia!
Revolutionairies.jpg

Na hao ambao babu zenu walikuwa wanawaita wakwezi na watwana, umewaona eeh!!

Hapo hakuna Mzanzibari wote kutoka bagamoyo na Uganda, kama unataka kujua siri ya mapinduzi soma kitabu cha kwa heri ukoloni
 
Mkuu, Sultani ni cheo cha mtu kwa kurithi.
Maalim amekuwa akishikilia CUF kwa zaidi ya miaka 20 , a persons life time.
Siwaungi mkono CCM, lakini ingalau mfumo wao si kisultani, uongozi unabadilika, tena si wa kindugu au familia.
Umekurupuka. Au unaposoma huelewi.

Seif alishinda uchaguzi wa 1995. Kama CCM hawakungang'ania madaraka. Leo usingepata nafasi ya kusema Seif anashikilia CUF. Kimantiki, Seif angeng'atuka uongozi 1995-2000, 2000-2005. Wengine wangepata nafasi ya kuongoza huko. Naamini CUF ndio wamemwamini Seif kuwa ni Mussa(Moses) kwa CCM( Firauni/pharao). Na umeona sasa, Jecha alishindwa kumtangaza Dr,. Shein wa CCM kuwa mshindi. Unataka ushahidi gani tena? Mwenyekiti wa NEC- ZEC kushindwa kumtangaza mgombea wa urais wa CCM kuwa mshindi. Does it make sense to you?
 
Kwanza nataka utambue hakuna mwenyeji mwenye asili ya Zanzibar aliyefanywa mtumwa na ukimuona mtu yuko Zanzibar na ajifanya wazazi wake waligeuzwa watumwa basi ujue huyo alikuwa mtumwa kutoka Tanganyika aliekuja kutumikishwa kupanda minazi na mikarafuu ambayo tokea wakati huo hadi Sasa ndio nguzo moja muhimu ya uchumi wa Zanzibar

Waafrica wenyeji wa Zanzibar hakuna hata mmoja alieshika majambia, mashoka wala bunduki kumuuwa ndugu yake wa kiarabu, wakihindi, waliochanganya damu au wa kutoka Pemba! Kazi kubwa ya ukatili iliyofanywa ya kuwauwa wenyeji wa Zanzibar zaidi ya elfu 20000 ilifanywa na watanganyika waliopata mafunzo ya ukatili katika kambi ya sakura tanga chini ya katili Okelo, na hili analithibitisha Mh. Abeid Aman Karume pale moja ya hutuba yake inaposema sisi hatukupindua bali tulikuwa mashahidi ambao baadae tukapewa kuongoza!! itafute clip yake YouTube umsikilize.

Halafu kuna huu ujinga na upumbavu unaofanywa wa kuwaona wazanzibar ni watu wakulishwa maneno ya uongo kila siku!! Ninani asiejua kuwa karibu Africa yote ilikuwa koloni la mataifa ya nje lakini katu hatujawahi kusikia mwengereza atarudi Kenya pindipo kanu ikiondoka madarakani, au mjarumani atarudi Tanganyika Kama CCM itaondoka madarakani, au wabelgiji watarudi Zaire, au mreno atarudi Angola na msumbiji.!!!!! Bali Africa nzima atakaerudi kutawala tena ni mwarabu pekee tena pale tu upinzani utakapoingia katika kuongoza nchi!!!!!! Hili ni jambo la ajabu mno kusemwa na mtu aliestaarabika!!!

Watanganyika hasa CCM watambue kuwa wazanzibar wa leo M/Mungu ameshawaamsha kutoka kwenye usingizi wa propaganda hizi hivyo katu haziwezi kufanya kazi tena na zikawafanya wamsahau adui yao.

Kama mwarabu atarudi basi sio mwarabu pekee atakaerudi bali hata Waafrica wenyeji wa Zanzibar ambao walikimbia ukatili wa watanganyika ambao walikuja kupindua uongozi halali uliochaguliwa na wananchi wa Zanzibar nao watarudi! Kwasababu wameacha mashamba na mali zao nyuma ambazo baadhi ya waliopewa kinguvu na serikali tayari wameanza kuwarudishia kwa hiyari yao wamiliki wake, Hii ni baadae ya kutambua ubaya wa mali ya dhulma

Kwa kuongeza, ma chifu waafrica wenyewe waliwauza waafrica wenzao kwa tamaa zao binafsi, wakati huo hakuna rasilimali iliyo fukuliwa, ma chifu wakitoa binadamu na wazungu na waarabu wakitoa masufuria na nguo. 😀
 
Zanzibar ni ya watu weusi waafrika, ni nchi ya Afrika, kama ilivyosasa ndivyo itakavyoendelea kuwa/

mimi ndio chanzo cha historia, wewe ulikuwepo Zanzibar tarehe 12 January 1964 au umesikia kwenye bomba tu?

sikatai kuna washiraz wa ukweli, hawa ni machotara na hiyo Shiraz lilikuwa neno la utani, ni kama wazungu wakimwita Obama a mutt!

haha hebu google picha ya Maalim Seif au kamwangalie tena, anaonekana ni mbantu yule?

haya mchangiaji tuma salamu kwa watu watano ........

washirazi wanaoitwa Zanzibar, ni mchanganyiko wa weusi na waarabu, maana waarabu walizaliana na wanawake wa bara wa kidigo na nyamwezi

Unachekesha sana,na Libya, Tunisia, Morocco ni za nani?
 
Hapo hakuna Mzanzibari wote kutoka bagamoyo na Uganda, kama unataka kujua siri ya mapinduzi soma kitabu cha kwa heri ukoloni

Hawa watu hata ukiwafahamisha kwa bunduki hawafahamu! Tokea lini Zanzibar na mfaranyaki, natepe!!!!??? Hapo hakuna hata mmoja mzanzibar original.
 
SMZ, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ni matokeo ya mapinduzi yaliyo mwondoa Sultani wa Zanzibar mwaka 1964.

Siyo siri, mgawanyiko wa kiasili uliokuwepo kwa karne na karne huko Zanzibar hadi leo bado upo.
Wakati SMZ, iliundwa na waliopindua, haswa waafrika, waliopinduliwa walikuwa waarabu.

Katika kujadili matatizo ya CUF, na CCM-Zanzibar kiini hiki hakiwezi kukwepeka.
Vile vile siyo siri kuwa kwa sasa waliowengi wanaoiunga mkono CUF ni wale waliopinduliwa na wanaoiunga mkono CCM Zanzibar ni waafrika na wasirazi waliopindua serikali ya Sultani wa Zanzibar.

Mgawanyo wa wananchi wazanzibar uko katika misingi hiyo, na haya tumejaribu ati muafaka wa kitaifa haujaondoa tofauti baina ya makundi hayo.

Kwa mantiki hiyo, kama alivyosema mama mmoja mwafrika/mshirazi, pale bungeni Dodoma, kuondoa SMZ kwa karatasi(kura) ni ndoto ya mchana.

Unakuja kuja lakini bandiko lako ndio linapalilia mgawanyiko zaidi!
 
Msijiridhishe kwa hiyo contemporary Zanzibar history miaka mingi BAADA ya mapinduzi ya 1964.
Hata wale wanaoandamana huko Uingereza na Marekani ni uzao wa waliopinduliwa 1964.
Hilo halina ubishi.

Mzizi wa fitna ni nia ya CUF kuwabeba waliopinduliwa na kurudisha classes za pre '64.
Watasema maneno matamu lakini nia yao ni dhahiri.

Wana CCM wengi wa Z'bar ambao kiukweli ni ASP hawataki kurudishwa utumwani, huo ndo ukweli.

You are just an Ignorant pathetic stupid boy you know nothing there were no classes in Zanzibar if you dont know about it slavery was abolished since 5 April 1897. At 118 years the age even your grandpa was not yet net born there was no more slavery in the East Coast of Africa. In 1890 Zanzibar and East Africa came under the British Rule and Hegemony. So since that period until Dec 10, 1963 Zanzibar was ruled by HM British Government Chief Minister under the so famous Sultan a head of State who could not approve even budget for his palace expenditure.
Ikulu Zanzibar had a UK flag on its staff not the Sultans flag.

Check this time line:

1884-AD-- The German flag was first raised in East Africa.-
Dr Karl Peters landed at Bagamoyo and persuaded a number of chiefs to sign treaties surrendering large tracts of mainland to his Society for German Colonisation.-
Kaiser Wilhelm I convened an international conference in Berlin where it was agreed that no nation would annexe any part of Africa without giving due notice. The day after this, the Kaiser announced that Germany had taken under her imperial protection all the territories (about 60,000 square miles) newly acquired by Dr Peters on the mainland. -

1885-AD-- The German Emperor gave a Charter to the German East Africa Company to administer the territories they laid claim to on the mainland. -
28th May: Commercial Treaty between Italy and Zanzibar signed. -
30th May: Commercial Convention between Belgium and Zanzibar signed. -
7th August: German blockade of Zanzibar. A squadron of five German warships anchored off Zanzibar and delivered an ultimatum to Seyyid Barghash to recognise German occuptaion of the Territory which came to be known as German East Africa as well as of the Sultanate of Witu on the coast north of Mombasa at the mouth of the Tana river.-
17th October: Lt. Col. (afterwards Earl) Kitchener, appointed British Commissioner on the Zanzibar Boundary Commission. -
December: Britain and Germany met in Zanzibar and agreed to recognise the Sultan?s authority over the islands of Zanzibar, Pemba, Mafia and Lamu and over a coastal strip about 700 miles long and 10 miles wide, stretching from the Rovuma to the Tana. North of the Tana the Sultan would still hold the towns of Barawa, Merka, Mogadishu and Warsheik. -

1886-AD-- 8th November: Zanzibar adhered to the Berlin Treaty. The Delimitation Treaty defined the British and German spheres of influence in East Africa.-
The hinterland behind the Sultan's coastal strip was divided into two spheres of influence: the northern part from the Fumba river to the Tana was allotted to the British. The southern part from the Umba to the Rovuma was allocated to the Germans.-
The two powers had divided the Sultan?s Empire between them. From this point on Zanzibar?s control of the mainland was virtually nonexistent. -

1887-AD-- 9th July: Queen Victoria?s Golden Jubilee festivities in Zanzibar. At 4 pm the foundation stone of the Ithnashiri Dispensary was laid by Tharia Topan, a merchant in the city. A golden trowel was used and the stone laid to the music of the Sultan?s band.-
11th August: Commercial Convention signed between Austria and Zanzibar. -

1888-AD-- 26th March: Seyyid Barghash died, having been ill for some years of consumption and elephantiasis. He had reigned for 18 years and was succeeded by Seyyid Khalifa bin Said. (Reigned 1888-1890). Khalifa had been imprisoned by Barghash in a dungeon under the palace for six years under suspicion of intrigue and was ?somewhat weak in the head?. -
16th August: The German East Africa Company leased the coastal strip from the Umba to the Rovuma from Seyyid Khalifa, largely through the offices of Carl Peters. Resistance began in Pangani against the oppressive rule of the German East Africa Company and this soon spread along the whole coast, fomenting the "Maji Maji" rebellion. -
The leaders were Abushiri bin Salim, an Arab, and Bwana Heri, a Mzigua. The resistance was crushed by the Germans after two years, during which time there was considerable unrest and some missionaries and other foreigners were killed. -
3rd September: The Imperial British East Africa Company received a Charter from the British Government. The British East Africa Protectorate and the Uganda Protectorate came into being.-
2nd December: Blockade of Zanzibar coast by British warships.

1889-AD-- 31st August: Agreement for the administration of part of Zanzibar's Mainland Territories by the British Imperial East Africa Company. -
13th September: Edicts were issued by Sultan Khalifa freeing all children of slaves born after 1st January, 1890.-
1st October: Blockade of Zanzibar coast raised. -

1890-AD-- 13th February: Seyyid Khalifa bin Said died. Though normally in good health, he had been visiting his country palace at Chukwani for a change of air. After his return from a few hours? shooting he was seized with a high fever and soon afterwards he died of heat apoplexy at the age of 36.-
Seyyid Ali bin Said acceded to the throne of Zanzibar. (Reigned 1890-1893). -
14th June: Agreement between Zanzibar and Great Britain in respect of making Zanzibar a British Protectorate. -
2nd July: General Act of Brussels Conference providing for the suppression of the slave trade by sea and land and for the restriction of the import of alcoholic liquor and of firearms, which the slavers had supplied to the mainland chiefs in exchange for slaves. Procedures were laid down for the searching of vessels on the high seas, compelling them to fly a national flag and to provide lists of crew and passengers. -
20th October: Sir Richard Burton, explorer, died, 69 years of age.

-
4th November: A British Protectorate over Zanzibar and Pemba was proclaimed. The Protectorate was recognised by Germany in exchange for the Island of Heligoland in the North Sea.- Germany also agreed to give up her protectorate at Witu and all claims to territory in Uganda. France accepted the Protectorate on recognition by Great Britain of the French Protectorate over Madagascar.- Thus, the Albusaid Sultancy of Zanzibar lost its power. The post of First Minister to the Sultan was created and Sir Lloyd Mathews filled the post. -
27th December:-- Germany paid 4 million gold marks - about ?200,000 - to Zanzibar for the coast (with its hinterland) between the rivers Umba and Rovuma and the Island of Mafia. -

1891-AD-- A constitutional government was established with Sir Lloyd Mathews as First Minister of the Sultan. The Sultan's Civil List was fixed at 250,000 rupees a year. The first budget was drawn up. -

1892-AD-- 1st February: Zanzibar was declared a Free Port and the 5% ad calorem duty was abolished. (This step was taken to counteract the trade competition offered by the ports of the neighbouring German East Africa.) -
The Zanzibar Gazette was first published. -
12th August: Concession of Benadir Ports to Italy. -

1893--AD- 5th March: Seyyid Ali bin Said died. He was the last of the sons of the great Sultan, Seyyid Said, to occupy the throne of Zanzibar. -
First attempt by Seyyid Khaled, the obstinate and proud young eighteen year old son of Barghash, to occupy the palace and usurp the throne. He was taken away to his own house by the British Consul General, Sir Rennell Rodd, Sir Lloyd Mathews and an escort of marines from H.M.S. Philomel and H.M.S. Blanche. -
Seyyid Hamed bin Thuwain, eldest son of the eldest living son of Sultan Said, Thuwain, Sultan of Oman, acceded. (Reigned 1893-1896). -
At the command of his uncle the Sultan, Seyyid Khalifa bin Harub came to Zanzibar for the first time at the age of 13. The same year Khalifa, accompanied by his brother-in-law Seyyid Ali bin Hammound, went on a pilgrimage to Mecca. -
Italy bought the towns of Barawa, Merka, Mogadishu and Warsheik and the adjacent Benadir coast from the Sultan for a cash payment. -

1895-AD-- 14th December:-- Agreement respecting Zanzibar's mainland territories. The Imperial British East Africa Company came to an end, its territory coming under direct British control as British East Africa (later Kenya) on condition that the Zanzibar Government received ?44,000 annually as rent for it. -
Britain forced the Sultan's Government to pay ?200,000 to the Imperial British East Africa Company as compensation for its territory on the mainland - even though Britain, not Zanzibar was gaining control of it again. -
Therefore the ?200,000 which Germany had paid to Zanzibar in 1890 for German East Africa, was used to pay for the return of British East Africa - to the British Government. In return ?6,000 a year was to be paid to the Sultan?s government as interest of 3% on this ?200,000. -
In addition, the Company received a further ?50,000 from the British Government in compensation. -

1896-AD-- 25th August: Death of Seyyid Hamed bin Thuwain. -
The same day, Khaled bin Barghash moved into the palace with many followers and attempted for the second time to usurp the throne. With 2000 men behind him, including the Sultan?s bodyguard, he took a task force of 60 men and climbed into the palace through a window. He declared himself Sultan and raised the Sultan's plain red flag. -
27th August 9.00 am: Bombardment of the Palaces by the British fleet which was anchored 150 yards off the town. This included: the warship H.M.S. Philomel under Captain O?Callaghan; the first-class cruiser H.M.S. St. George - flagship of Rear-Admiral Rawson; two gunboats: H.M.S. Thrush and H.M.S. Sparrow and the third-class cruiser H.M.S. Racoon. -
The firing lasted for only forty minutes. The Sultan's wooden armed corvette, the Glasgow, returned fire and was sunk. The guns and troops in the Palace square received a direct hit immediately and the smaller of the Palace buildings plus the adjoining Harem Palace were demolished. -
Seyyid Khaled's casualties were about five hundred killed and wounded. The British had one casualty. -
Khaled escaped from the burning Palace on horseback and took refuge in the German Consulate. The Germans escorted him to a waiting gunboat and took him away to Dar es Salaam where he lived until the defeat of the Germans in East Africa during the First World War. Then he was sent to St Helena and later to the Seychelles until in 1925 he was allowed to return to Mombasa where he remained until his death in 1927, aged 49. -
Seyyid Hamoud bin Muhammad acceded to the throne of Zanzibar. (Reigned 1896-1902). -

1897-AD-- 5th April: Slavery in Zanzibar was totally abolished after many Decrees, the first of them enacted by Seyyid Said in 1822. -At this time there were 50 - to 60,000 slaves in Zanzibar. By the end of the year only about 2,000 of them had claimed their freedom. -

1899-AD-- December: The 5% ad calorem customs tax was re-imposed. -

1901-AD-- 100,000 pounds worth of Zanzibar 3% Debentures were issued in London at par. Principal repayable not later than 1st October 1931. -
4th October: Sir Lloyd Mathews died in Zanzibar of fever, after living there for 20 years. He was buried at the English Cemetery in Ziwani and a Monument was erected
 
Back
Top Bottom