Kiinua mgongo cha 40M kwa usawa huu kweliii?

Kiinua mgongo cha 40M kwa usawa huu kweliii?

Yaani SACP alipwe 20M pekee?

Hao wa chini kabisa si watakuwa wanadaiwa wakistaafu,yaani mafao -10M.

BTW: Polisi/Hakimu akishindwa kujenga akiwa kazini,huyo ni mzembe wa kutupwa!!
Mkuu ni kweli wanalipwa baada ya kuja mfumo wa kikokotoo kipindi cha Nyuma walikua wanalipwa pesa zao zote mfano kiinua Mgongo Milioni 100 unalipwa chote lakini baada ya Kikokotoo kuja wanalipwa kidogo zingine wanalipwa kila Mwezi kama pension mpaka kifo na wakishakufa familia yake hailipwi chochote.
 
Hivi bado watu wakistaafu watapewa 40M na hali ya maisha ilivyo ?

Utumishi au utumwa
Naomba unyamaze/utulie ndugu.Bado haujaona kitu.Kuna watu ninaowafahamu wamestaafu mwaka jana,2025,kwa miezi mfuatano.Wamefanya kazi kwa miaka 20 wawili na mmoja miaka 22.Funny enough,wa miaka 20 wamelipwa milioni 14 kila mmoja na wa miaka 22 amelipwa milioni 17.Local government hiyo kupitia PSSSF!Nisaidie kulia kwa niaba yao.
 
Kuna watu wanakufa hawajawahi kushika hata milion 5 kwa pamoja. Muwe na shukrani.
Mtu awe na shukrani kwa pesa yake anayokatwa kila mwezi kwenye maisha yake yote ya utumishi!

Serikali ilitakiwa kuruhusu wastaafu kuchagua aina ya kikokotoo wanachokitaka. Kama mstaafu anataka apewe hela yake yote, apewe! Na kwa yule anayetaka kupewa 40% na yeye apewe! Na siyo kumlazimisha mtu kutumia kikokotoo cha aina moja.
 
Vikokotoo vyenyewe sijui viko vingapi?.
Yaani mfanye kazi miaka sawa, Mshahara sawa, na pengine uchangie zaidi kwenye mafao ukiwa private; LAKINI mkistaafu ulipwe kidogo kuliko wengine! Mungu anawaona walio amua kufanya hivyo...
Ni ujambazi wa mchana kweupe kabisa
 
Naomba unyamaze/utulie ndugu.Bado haujaona kitu.Kuna watu ninaowafahamu wamestaafu mwaka jana,2025,kwa miezi mfuatano.Wamefanya kazi kwa miaka 20 wawili na mmoja miaka 22.Funny enough,wa miaka 20 wamelipwa milioni 14 kila mmoja na wa miaka 22 amelipwa milioni 17.Local government hiyo kupitia PSSSF!Nisaidie kulia kwa niaba yao.
Wakome na CCM iendelee kwazurumu na kuwa nyonya, Watanzania kusema tunataka katiba ili kuzui mtu moja kuamua jambo lolote Watumishi wao wanaona Wananchi ni wajinga, kikokotoo kama kweli ni kizuri kingetumika kuanzia kwa Raisi mpaka kwa Wabunge lakini wao wakistaafu wanalipwa kiinua mgongo chote kama kinuua ni million 2000 wanalipwa chote, Mwalimu kiinua mgongo chake kama ni milioni 150 hapewi chote anapewa milioni 20 hizo milioni 130 anawawekewa na kulipwa kidogo kidogo kwa kiwango cha Mshahara aliyokua analipwa kabla ya kustaafu na ikitokea amefariki pesa zake zinachukuliwa na serikali na familia yake hawapati chochote
 
Yaani SACP alipwe 20M pekee?

Hao wa chini kabisa si watakuwa wanadaiwa wakistaafu,yaani mafao -10M.
WaBTW: Polisi/Hakimu akishindwa kujenga kazini,huyo ni mzembe wa kutupwa!!
Kweli wanalipwa hiyo pesa kwa mfumo mpya wa kikokotoo, Zamani Walikua wanalipwa Kiinua mgongo chote kwa mkupuo kama alitakiwa kulipwa kiinua mgogo Millioni 2000 analipwa zote na kila mwezi analipwa Pensioni, Sasa baada Serikali kuja na kikokotoo wanalipwa robo pesa zingine wanatunziwa na kulipwa kila mwezi kiwango cha Mshahara uliokua unaolipwa ukiwa kazini kabla ya kustaafu na ukifa pesa zako zinaenda Serikani hakuna familia yako kurithi.
 
Ndio maana tunabet, kuna siku mchongo utatiki tu tuachane na huu unyonyaji au sio wakamaria wenzangu 😎
 
Polisi ndiyo wanapunjwa utakuta Mfano Mkuu wa Polisi kanda maalumu akistafu alitakiwa alipwe Milioni 100 anakuja kulipwa Milioni 20 Baada ya kikokotoo, Polisi walipwa Mafao kiduchu mpaka huruma. Utakuta Polisi analipwa kiinua mgongo milioni 13 hapo hana Nyumba ya kuishi.
Sina huruma na polisi
 
Walimu wastaafu watatu wote mwaka huu wamelipwa ml 72 sijui hiyo ya juu wanaibana ya nini mwee
Inasikitisha sana 72m ndiyo kwa muda wa miaka karibia 40 umeitumikia? Kuna watu sector binfsi kila mwaka anachangia milioni 10 NSSF ,kama akifanya kazi miaka 20 ana milioni 200 na akiacha kazi anachukua yote.
 
Daaah huyò Mwalimu anafundisha IST
 
Back
Top Bottom