King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hapo ni mwajiriwa ambaye anapata Net Salary ya 2.7m ndiyo kwa mwaka anacontribute 10m NSSF.Daaah huyò Mwalimu anafundisha IST
Kwenye sector binafsi vijana wengi sana wanakunja hadi mara tatu ya hiyo salary.
Nenda kwenye NGOs ,Madini ,Telecom kuna Madirector wanakunja hadi 20m.