King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Jun 7, 2026 #41 Lech Poznan said: Daaah huyò Mwalimu anafundisha IST Click to expand... Hapo ni mwajiriwa ambaye anapata Net Salary ya 2.7m ndiyo kwa mwaka anacontribute 10m NSSF. Kwenye sector binafsi vijana wengi sana wanakunja hadi mara tatu ya hiyo salary. Nenda kwenye NGOs ,Madini ,Telecom kuna Madirector wanakunja hadi 20m.
Lech Poznan said: Daaah huyò Mwalimu anafundisha IST Click to expand... Hapo ni mwajiriwa ambaye anapata Net Salary ya 2.7m ndiyo kwa mwaka anacontribute 10m NSSF. Kwenye sector binafsi vijana wengi sana wanakunja hadi mara tatu ya hiyo salary. Nenda kwenye NGOs ,Madini ,Telecom kuna Madirector wanakunja hadi 20m.