KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

Joined
Apr 29, 2016
Posts
73
Reaction score
79
KITASA CHA KUFUNGUA KWA SURA YAKO(USO) ☎️0746373222

Njia sita za kufungua kitasa hiki cha kisasa.

1. Utambuzi wa uso( Face recognition)
2. Fungua kwa simu(Remote unlock)
3.Tumia namba ya Siri(Passcode)
4.Kadi
5.Alama za vidole(Fingerprint)
6.Funguo(Key)

Kitasa kina uwezo wa kuunganishwa na wi-fi na pia Blootooth.

Ni kitasa Cha kisasa,imara na kilichotengenezwa kwa material imara isiyoshika kutu Wala kupauka.
Kinafaa kwa matumizi ya Nyumba,Ofisi,Taasisi na maeneo mengine.

Bei yake ya sasa ni 650,000/=

Kitasa hiki kinapatikana Dar es salaam na Mwanza.
Wasiliana nasi kupitia simu namba
📞0746 373 222
Au whatsapp namba hiyo.

Pia Tuchek Instagram: gordon_technology

Tiktok: Gordon Technology

IMG-20250627-WA0091(1).jpg
 
Hizi china zinauzwa Dola 80 mpaka mia. Wabongo wanapiga super profit, yaani wanawaibia wabongo wenzao na ndio mana mchina akivileta hapa anauza laki mbili utawasikia kuwa wachina warudi kwao
 
Iyo ni Bei kwa uchina ,hao jamaa nimeingia kwenye website yao nikapata namba ya WhatsApp ya kwao nikawaulizia wakaniambia Bei yao ni Chinese yuan 330 , kwa Bei ya rmb au Chinese money moja ni sawa na 368. Something hela ya kitanzania nikakadiria iwe 370 , nikazidisha ikawa 122k.
Sasa hii hata ukiuza 250k bado unapata faida nusu, njoo ushuru ,usafiri ,gharama za mtu kwenda china kula na kulala nauli na hata hela yake aliyonunulia Malaya wa kichina na ki Thailand akawala anataka ugharimikie adi anasa zake. Njoo Kuna fremu,Kodi sijui mapato leseni nk Ila bado hawezi uza hii Bei bana.
Ukiangalia unaweza ukaagiza huku umekaa hapo hapo ofisini kwako.
Shida ya waafrika tumekaa kijambazi kabisa Ila tunajifanya kuwa tunafanya biashara ama ni viongozi.
Tunaibia wananchi masikini Kodi zao tunakula bata ,tunajilimbikizia Mali huku akina mama wajawazito wanalala wawili kitandani na uje Sasa huyu jamaa Naye anakamua masikini kwa kuuza kitasa laki sita ambayo unanunua ardhi kabisa.kitsa cha laki moja na ishirini.
Yaani Bora wachina wajae na wazungu warudi watawale, ivi unajua Kuna watu wanadai kuwa Bora utawala wa mkoloni kuliko wetu wenyewe.
Mana mkoloni alitoa best social services and miundombinu Ila anakukula.
I know no mercy ya kutoliwa na Walioko at the top of food chain..yaani ng'ombe ama swala hawezi kuongea huruma nyasi asizile sijui zitaumia ama miti the same applied Simba, chui na fox hawezi onea huruma mtt wa nyumbu ama swala asimle kisa atamuumiza.

Sasa bana hao watu wawili wafanya biashara na wanasiasa hawana huruma na wewe na ndio mana hawataki wasome waerevuke ama wawe na maarifa pia jumlisha kufunguliwa macho Mana watafungua nyumbu milioni moja wenye pembe zao Kali wanaosimama wanashuhudia mwenzako akiliwa na chuo watatu. Sasa wanampoteza nyumbu anayeonekana kuwa mjanja kwa kuwaamsha wengine hao milioni moja Mana wakiamka hao wengine siku chuo watatu wakija watawazonga na kuwapiga na pembe na kuwaua kabisa.
Pia watahatarisha Maisha ya chui , watt wao, chakula Chao na ndio mana maarifa ama elimu nzuri haitolewi shuleni Bali mtaani ama gerezani kwa wajanja wachache ni lazima uvunje Kodi Fulani. Let say shuleni umesisitiziwa kuangalia ama kuwa makini na mwili wako , mazoezi ya mwili ,uoge na upake mafuta Ila hujashauriwa ama kushauriwa namna ya kutunza ini,Figo,moyo, namna ya kudili na hisia pia ubongo wako hujui namna ya kuutumia.
Watu wanaposoma wanakuwa wajanja wale wanaowaala wajinga wanachukia wanatamani masikini na wajinga wazidi kuwepo wawepo ili waliweka kirahisi.
This is world of dog eats dog and hunt or get hunted.
Niambie Kama Kuna politicians ameshakuletea chakula mezani kwako yaani anapambana akakule kule juu kabisa , mtu anataka uongozi anataka ufanye awe chui wewe uwe nyumbu. Kama wanatumikia wewe mbona hawataki katiba ambayo inakupa nguvu wewe umdhibiti wewe Bali anataka akudhibiti uwe mtumwa na mjinga,masikini na mwenye maradhi siku zote.
Usiweze kumuuliza ama kumtoa madarakani ambapo akiwa hafanyi vizuri. Yule umemuajiri wewe Ila Sasa anataka kuwa juu yako, yaani unaajiri mtu baadaye anabakia anakupangia wewe cha kufanya na kwa kutumia nyumbu wenzetu yaani hakuna siku kiongozi wa juu atakuja kwako kukamata wewe anatumia masikini wenzako ama nyumbu wenzako humo humo kukukamata wewe nyumbu mjanja anayeonekana mjanja anataka kuamsha nyumbu wenzake kuwa mbona sie tupo wengi na tuna mapembe yaani kwa pamoja Hawa Simba wakija na sie tukawaeendea at once mbona tunawamaliza na wapo wachache sie tupo wengi na tunazo pembe tunawatoboa matumbo yao.
Sasa bana Kuna nyumbu wengine wachache sijui wao Wana act Kama askari wanatumwa kuwa mkamateni yule mwenzenu ananifanya mie nisiweze kuwala nyie.

Elimu nzuri haipo shuleni, pia mafundisho mazuri ya dini hayapo huko mnakoenda kukusanyika.
Matajiri wengi waaulizeni Kama elimu ya darasani iliwasaidia kutoka kimaisha na wakamiliki kampuni.

Wafanyabiashara fanyeni biashara acheni wizi ama ngoja wachina wazidi kuja muanze kulia kuwa wanaamsha nyumbu.
Iyo kampuni jnadili na mambo mengi mno ikiwemo na komeo za kiulinzi pamoja na silaha.
Saivi internet ipo Kila mahali zamani walikuwa nao wachache.
Jiulize why wanakata Elon musk asifunge ama asilete internet yake hapa ili tuzidi kuliwa ama watu wengi wasiwe na access na Dunia , enzi za Nyerere tv hakuna.
Jpm alidai mitandao izimwe huyu akazima mtandao z ingawa na yeye anautumia. Yaani wanataka wajinga wengi na watu wawe gizani ili wazidi kuliwa kiulaini.
Hata Simba ananyemelea nyumbu anataka amkamate bila ya kutumia nguvu yoyote Ile ama purukushan.
Mfano hili andiko wale wanaowaala wengine watachukia Ila wale wanaoliwa wataanza kuamka usingizini na watashukuru mie kuwaamsha.
Yaani watanaka wawe gizani na ujinga mwingi ili waliwe bila ya stress.
 
KITASA CHA KUFUNGUA KWA SURA YAKO(USO) ☎️0746373222

Njia sita za kufungua kitasa hiki cha kisasa.

1. Utambuzi wa uso( Face recognition)
2. Fungua kwa simu(Remote unlock)
3.Tumia namba ya Siri(Passcode)
4.Kadi
5.Alama za vidole(Fingerprint)
6.Funguo(Key)

Kitasa kina uwezo wa kuunganishwa na wi-fi na pia Blootooth.

Ni kitasa Cha kisasa,imara na kilichotengenezwa kwa material imara isiyoshika kutu Wala kupauka.
Kinafaa kwa matumizi ya Nyumba,Ofisi,Taasisi na maeneo mengine.

Bei yake ya sasa ni 650,000/=

Kitasa hiki kinapatikana Dar es salaam na Mwanza.
Wasiliana nasi kupitia simu namba
📞0746 373 222
Au whatsapp namba hiyo.

Pia Tuchek Instagram: gordon_technology

Tiktok: Gordon Technology

Siku wakipigana bar mtu akadundwa jicho likavimba na mkono kuvunjwa kasheshe🤣
 
Hizo namna ya kufungua imeandikwa kwa English Sasa wengi mno Tanzania hawajui English ndipo Hapo unapopigwa Mana wao wanasomesha English Ila wetu kiswahili.
Mie nimesoma za kiswahili Ila nikiongea English wananiambia naongea English nzuri mno pia enzi za ujana wangu nilikuwa nakula watt kwa English pia hawakuamini Kama ni mtanzania mwenzao.
Masikini kwa ulimbukeni wake anafanya vitu vya kujiumiza ili aonekane Naye ni tajiri.
Unapeleka mwanao English medium unapigwa mie hao hao ems ninawazidi English yao, hata darasani nawawazidi iyo iyo English, hata Kuna mganda mmoja alidisco chuo sijui English hakuwa anaielewa.
Mtaibiwa na kuliwa mno.

Elewa mbuzi,twiga na swala hawapigi mswaki na Colgate Ila hawajawahi kung'olewa jino Ila wewe bado unatolewa jino.
Kule porini hakuna nyumbu , swala ama twiga hata chui ameshawahi pata chanjo ya kuzuia magonjwa na pia hakuna aliyewahi kuzaa kwa operesheni. Ni ujinga na kujiona u mjanja ndio uadui wako yaani ego is the enemy ama akili nyingi mpaka unajitoa basic maaarifa .
Yaani huoni wanyama wote ukifika usiku tu wanaingia kulala na hawali Ila wewe usiku bado unakula na haulali.
Hii ni basic elementary nature understanding.
Niambie kuku Kama wanakulaga usiku.
Binadamu ni mjinga Ila mnyama ni mjanja. Lizard anaota jua la asubuhi Ila binadamu muda huo yupo kwenye ac ya gari ama ya ofisini anatumia sukari ya man made
 
Biashara ni wizi wa makubaliano jamani elewa ama weka ilo kichwani. Yaani ukiuziwa 10M kitu cha 10k hakuna mahala pa kumshtakia huyo kuwa amekuibia.
Ni sawa na elimu hii anayoisemaga LIKUD kuwa elimu ni Ile Ile wewe unailipia gharama kubwa yaani tu uonekane uko juu. Masikini anavuta sigara ya Bei ghali akae pamoja na matajiri ama rohoni na nafsini mwake ajione ama ajifariji Yu tajiri.
 
Ego is the Enemy muache jamaa afanye biashara, unajiita ego is the Enemy huku na wewe una Ego.
Anashangaa kuona bei yng na wkt mm nilipoishiwa mzgo nikaamua kuuliza bei kwa mfanyabiashara mwngne ili nimpe mteja wangu...bei niliotajiwa ndio nikagundua kuwa bei yangu ilikua nzuri sana kuliko pengne...ikabdi niagize mzgo wangu nje ya nchi na mteja alivumilia mpk ulipofika.
 
Mshamba huyo jamaa, soko huria hili. Kutokua kwako na taarifa ndiko kupigwa kwako.

Huwa nawashangaa sana wanaolalama bei ilhali mtu una option kibao.
Achana na mfanyabiashara huyo nenda kwa mwingine au agiza unakoona ni sahihi.
 
Hizi china zinauzwa Dola 80 mpaka mia. Wabongo wanapiga super profit, yaani wanawaibia wabongo wenzao na ndio mana mchina akivileta hapa anauza laki mbili utawasikia kuwa wachina warudi kwao
Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!
 
Hizo namna ya kufungua imeandikwa kwa English Sasa wengi mno Tanzania hawajui English ndipo Hapo unapopigwa Mana wao wanasomesha English Ila wetu kiswahili.
Mie nimesoma za kiswahili Ila nikiongea English wananiambia naongea English nzuri mno pia enzi za ujana wangu nilikuwa nakula watt kwa English pia hawakuamini Kama ni mtanzania mwenzao.
Masikini kwa ulimbukeni wake anafanya vitu vya kujiumiza ili aonekane Naye ni tajiri.
Unapeleka mwanao English medium unapigwa mie hao hao ems ninawazidi English yao, hata darasani nawawazidi iyo iyo English, hata Kuna mganda mmoja alidisco chuo sijui English hakuwa anaielewa.
Mtaibiwa na kuliwa mno.

Elewa mbuzi,twiga na swala hawapigi mswaki na Colgate Ila hawajawahi kung'olewa jino Ila wewe bado unatolewa jino.
Kule porini hakuna nyumbu , swala ama twiga hata chui ameshawahi pata chanjo ya kuzuia magonjwa na pia hakuna aliyewahi kuzaa kwa operesheni. Ni ujinga na kujiona u mjanja ndio uadui wako yaani ego is the enemy ama akili nyingi mpaka unajitoa basic maaarifa .
Yaani huoni wanyama wote ukifika usiku tu wanaingia kulala na hawali Ila wewe usiku bado unakula na haulali.
Hii ni basic elementary nature understanding.
Niambie kuku Kama wanakulaga usiku.
Binadamu ni mjinga Ila mnyama ni mjanja. Lizard anaota jua la asubuhi Ila binadamu muda huo yupo kwenye ac ya gari ama ya ofisini anatumia sukari ya man made
Ukisikia mingle-mangle ndio hii
 
Back
Top Bottom