David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Kwanini wachina wakija kufanya biashara mnalalamika kuwa wanavuruga biashara wanauza vitu bei ya chini tofauti na nyinyi?Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!
Wabongo mnataka double profit .
Mchina anauza bei ya kutoumiza ila wewe mbongo unamuumiza mbongo mwenzako kwa kumpandishia bei maradufu.