Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 73
- 79
Hizi china zinauzwa Dola 80 mpaka mia. Wabongo wanapiga super profit, yaani wanawaibia wabongo wenzao na ndio mana mchina akivileta hapa anauza laki mbili utawasikia kuwa wachina warudi kwaoKITASA CHA KUFUNGUA KWA SURA YAKO(USO) ☎️0746373222
Njia sita za kufungua kitasa hiki cha kisasa.
1. Utambuzi wa uso( Face recognition)
2. Fungua kwa simu(Remote unlock)
3.Tumia namba ya Siri(Passcode)
4.Kadi
5.Alama za vidole(Fingerprint)
6.Funguo(Key)
Kitasa kina uwezo wa kuunganishwa na wi-fi na pia Blootooth.
Ni kitasa Cha kisasa,imara na kilichotengenezwa kwa material imara isiyoshika kutu Wala kupauka.
Kinafaa kwa matumizi ya Nyumba,Ofisi,Taasisi na maeneo mengine.
Bei yake ya sasa ni 650,000/=
Kitasa hiki kinapatikana Dar es salaam na Mwanza.
Wasiliana nasi kupitia simu namba
📞0746 373 222
Au whatsapp namba hiyo.
Pia Tuchek Instagram: gordon_technology
Tiktok: Gordon Technology
Siku wakipigana bar mtu akadundwa jicho likavimba na mkono kuvunjwa kasheshe🤣KITASA CHA KUFUNGUA KWA SURA YAKO(USO) ☎️0746373222
Njia sita za kufungua kitasa hiki cha kisasa.
1. Utambuzi wa uso( Face recognition)
2. Fungua kwa simu(Remote unlock)
3.Tumia namba ya Siri(Passcode)
4.Kadi
5.Alama za vidole(Fingerprint)
6.Funguo(Key)
Kitasa kina uwezo wa kuunganishwa na wi-fi na pia Blootooth.
Ni kitasa Cha kisasa,imara na kilichotengenezwa kwa material imara isiyoshika kutu Wala kupauka.
Kinafaa kwa matumizi ya Nyumba,Ofisi,Taasisi na maeneo mengine.
Bei yake ya sasa ni 650,000/=
Kitasa hiki kinapatikana Dar es salaam na Mwanza.
Wasiliana nasi kupitia simu namba
📞0746 373 222
Au whatsapp namba hiyo.
Pia Tuchek Instagram: gordon_technology
Tiktok: Gordon Technology
Anashangaa kuona bei yng na wkt mm nilipoishiwa mzgo nikaamua kuuliza bei kwa mfanyabiashara mwngne ili nimpe mteja wangu...bei niliotajiwa ndio nikagundua kuwa bei yangu ilikua nzuri sana kuliko pengne...ikabdi niagize mzgo wangu nje ya nchi na mteja alivumilia mpk ulipofika.Ego is the Enemy muache jamaa afanye biashara, unajiita ego is the Enemy huku na wewe una Ego.
Hamna spana hapo mkuu,wote hawana hela hao..! Mwny hela hanaga keleleDah hizi Spana
Mshamba huyo jamaa, soko huria hili. Kutokua kwako na taarifa ndiko kupigwa kwako.Anashangaa kuona bei yng na wkt mm nilipoishiwa mzgo nikaamua kuuliza bei kwa mfanyabiashara mwngne ili nimpe mteja wangu...bei niliotajiwa ndio nikagundua kuwa bei yangu ilikua nzuri sana kuliko pengne...ikabdi niagize mzgo wangu nje ya nchi na mteja alivumilia mpk ulipofika.
Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!Hizi china zinauzwa Dola 80 mpaka mia. Wabongo wanapiga super profit, yaani wanawaibia wabongo wenzao na ndio mana mchina akivileta hapa anauza laki mbili utawasikia kuwa wachina warudi kwao
Hahahahhahahh 🤣🤣🤣🤣 wameshindwa kuandika essay juu ya mfumo wa maendeleo yao binafsi unajaza essay kwny kazi ya mtu...kweli nchi ni ya ahadi.Huu uzi naona wanaandika essay tu 😀😀😀
Ukisikia mingle-mangle ndio hiiHizo namna ya kufungua imeandikwa kwa English Sasa wengi mno Tanzania hawajui English ndipo Hapo unapopigwa Mana wao wanasomesha English Ila wetu kiswahili.
Mie nimesoma za kiswahili Ila nikiongea English wananiambia naongea English nzuri mno pia enzi za ujana wangu nilikuwa nakula watt kwa English pia hawakuamini Kama ni mtanzania mwenzao.
Masikini kwa ulimbukeni wake anafanya vitu vya kujiumiza ili aonekane Naye ni tajiri.
Unapeleka mwanao English medium unapigwa mie hao hao ems ninawazidi English yao, hata darasani nawawazidi iyo iyo English, hata Kuna mganda mmoja alidisco chuo sijui English hakuwa anaielewa.
Mtaibiwa na kuliwa mno.
Elewa mbuzi,twiga na swala hawapigi mswaki na Colgate Ila hawajawahi kung'olewa jino Ila wewe bado unatolewa jino.
Kule porini hakuna nyumbu , swala ama twiga hata chui ameshawahi pata chanjo ya kuzuia magonjwa na pia hakuna aliyewahi kuzaa kwa operesheni. Ni ujinga na kujiona u mjanja ndio uadui wako yaani ego is the enemy ama akili nyingi mpaka unajitoa basic maaarifa .
Yaani huoni wanyama wote ukifika usiku tu wanaingia kulala na hawali Ila wewe usiku bado unakula na haulali.
Hii ni basic elementary nature understanding.
Niambie kuku Kama wanakulaga usiku.
Binadamu ni mjinga Ila mnyama ni mjanja. Lizard anaota jua la asubuhi Ila binadamu muda huo yupo kwenye ac ya gari ama ya ofisini anatumia sukari ya man made