KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!
Kwanini wachina wakija kufanya biashara mnalalamika kuwa wanavuruga biashara wanauza vitu bei ya chini tofauti na nyinyi?
Wabongo mnataka double profit .
Mchina anauza bei ya kutoumiza ila wewe mbongo unamuumiza mbongo mwenzako kwa kumpandishia bei maradufu.
 
Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!
Kwa china zinauzwa 122k ndio iuzwe kweli 650k, wafanyakazi Hawa wa kulipwa 5-8k per day kweli. Huu ni wizi mkubwa, ngoja wachina waje wawe wengi mtazidi kulia kulia, zamani ilikuwa ni ishu sana kufuata biashara nje inaonekana Kama kwenda mwezini Fulani.
Subiria Hilo soko hapo ubungo lifunguliwe Mana mmeibia watanzania wenu mno Sasa wanakuja watu wa kuwaokoa bado mnajiliza kuwa wasifunguliwe macho ili wazidi kuibiwa, yaani hampendani watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…