Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamkumbuka tuHili Pepo la vifo linaloiandama nchi hii inabidi tutubu!
Maghayo
Bila kusahau alijinyongea chooniEti dekio, kwa lugha rahisi ni tambala lililooza limemnyonga mtu hadi kafa bila kukatika na huko mahabusu alikuwa pekeyake maana moshi nzima saivi wameokoka
Akili za polisi wa Tanzania shida tupu,mahabusu anajinyonga chooni!,mahabusu wengine wamelala!kujinyonga sio Swala la kimya,sio Sawa na kunywa sumu!Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Taarifa zilizotolewa na ndugu wa marehemu, zanadai kabla ya kujinyonga, alijaribu kujiua kwa kujikata kwenye koromeo na wembe akiwa mahabusu.
Hata hivyo, askari walimuwahi na kumpeleka hospitali kwa matibabu na aliporudishwa ndipo usiku alijinyonga.
Akizungumza leo Jumatano Septemba 14, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mwenyekiti wa Mtaa wa Njoro Sokoni, Rabia Lema alikokuwa akiishi marehemu, amesema marehemu alikamatwa Septemba 10, 2022 na kufikishwa kituoni hapo ambapo alikuwa akituhumiwa kuiba simu ya mkononi na kompyuta mpakato.
Lema amesema alipigiwa simu usiku wa kuamkia Septemba 13,2022 na askari akitakiwa kufika kituo cha Polisi Kati mjini Moshi akiambiwa kuna tatizo la mahabusu kujinyonga na katika maelezo yake aliandika anaishi Njoro Sokoni.
"Ilikuwa saa 9:43 usiku, tulipopigiwa simu, tulienda kituoni na baadhi ya wajumbe wa serikaki ya mtaa na polisi jamii, tulipelekwa chumba cha mahabusu, tulikuta wengine wamelala, tukaingizwa chooni, tukakuta kweli mtu ananing'inia amejinyonga kwa dekio na baada ya kumuangalia nilimtambua," amesema
Amesema, "na nilipofuatilia nikaambiwa alikuwa amepelekwa Polisi akituhumiwa kwa wizi wa simu na kompyuta mpakato, nilikuwa sifahamu ndugu zake na nililazimika kuomba vijana waliokuwa nae mtaani hapa wasaidie ili ndugu wapatikane. Nitoe pole kwa familia, na niwasihi vijana waachane na tabia ya udokozi watafute kazi halali za kuwaingizia kipato".
Kwa upande wake, Dada wa marehemu, Angella Mushi amesema kifo cha ndugu yake kimewaacha na maswali mengi kwa kuwa maelezo waliyoyapata polisi kuhusiana na kifo hicho yana utata.
"Mtu yuko mahabusu, tunaambiwa amejinyonga na dekio, tunajiuliza hilo dekio mpaka achane apate kamba ya kujitundika, lilikuwa ngumu kiasi gani? Lakini pia tunaambiwa kabla ya kujinyonga alijikata kwenye koromeo na wembe na wakampeleka hospitali, sasa swali la kujiuluza ni kwamba aliwezaje kuingia mahabusu akiwa na wembe? alihoji dada wa marehemu.
"Lakini pia tunaambiwa alijaribu kujiua kwa kujikata na kiwembe, sasa tunajiuliza kama mtu alishajaribu tukio la kujiua walimrudishaje kwenye chumba chenye mazingira hatarishi? bado familia tuna maswali, lakini tunajua hatuwezi kushindana na serikali, ila tukio kama hili wakati mwingine linahitaji umakini," amesema
Awali, bibi wa marehemu, Agness Mahenge, Mkazi wa Kata ya Miembeni, Manispaa ya Moshi, amesema yeye alipata taarifa za kifo cha mjukuu wake Septemba 13, 2022 saa 7 mchana kutoka kwa mwanae anayefanya kazi stendi kuu ya mabasi mjini Moshi.
"Nilipigiwa simu na mwanangu ambaye ni mama mdogo wa marehemu, akinipa taarifa za kifo cha mjukuu wangu, alinieleza taarifa alizopewa ni kwamba marehemu alijikata kwenye koromeo na wembe ambapo alipelekwa hospitali ya Mawenzi kutibiwa na kurudishwa mahabusu," amesema
"Wanasema baada ya kurudishwa kituoni, aliingizwa chumba cha mahabusu na saa 8:00 usiku alijinyonga kwa tambara la dekio.
"Wanadai walitutafuta ndugu na hawakutupata kwa kuwa marehemu katika maelezo yake polisi aliandika hana ndugu na anaishi Njoro sokoni na ndiyo maana waliita uongozi wa mtaa huo kufika kuutambua mwili," amesema
Chanzo: Mwananchi
Who's next? Idugunde the witch!Another one. 😔😔😔 Huu mwezi uishe
Tusubiri matangazo ya vifo mchanaWho's next? Idugunde the witch!
Duh! Watu wanajiua sana siku hizi kuna mmoja mkoa fulani alijichoma kwa singe kwenye kichogo ikatokeza kwa mbele akafa, mwengine alijivunja shingo , kuna mwengine alijipiga mpaka kujiua hao woote wan historia mbovu kwa jamii na huyu naye kajinyonga kwa dekio .Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Taarifa zilizotolewa na ndugu wa marehemu, zanadai kabla ya kujinyonga, alijaribu kujiua kwa kujikata kwenye koromeo na wembe akiwa mahabusu.
Hata hivyo, askari walimuwahi na kumpeleka hospitali kwa matibabu na aliporudishwa ndipo usiku alijinyonga.
Akizungumza leo Jumatano Septemba 14, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mwenyekiti wa Mtaa wa Njoro Sokoni, Rabia Lema alikokuwa akiishi marehemu, amesema marehemu alikamatwa Septemba 10, 2022 na kufikishwa kituoni hapo ambapo alikuwa akituhumiwa kuiba simu ya mkononi na kompyuta mpakato.
Lema amesema alipigiwa simu usiku wa kuamkia Septemba 13,2022 na askari akitakiwa kufika kituo cha Polisi Kati mjini Moshi akiambiwa kuna tatizo la mahabusu kujinyonga na katika maelezo yake aliandika anaishi Njoro Sokoni.
"Ilikuwa saa 9:43 usiku, tulipopigiwa simu, tulienda kituoni na baadhi ya wajumbe wa serikaki ya mtaa na polisi jamii, tulipelekwa chumba cha mahabusu, tulikuta wengine wamelala, tukaingizwa chooni, tukakuta kweli mtu ananing'inia amejinyonga kwa dekio na baada ya kumuangalia nilimtambua," amesema
Amesema, "na nilipofuatilia nikaambiwa alikuwa amepelekwa Polisi akituhumiwa kwa wizi wa simu na kompyuta mpakato, nilikuwa sifahamu ndugu zake na nililazimika kuomba vijana waliokuwa nae mtaani hapa wasaidie ili ndugu wapatikane. Nitoe pole kwa familia, na niwasihi vijana waachane na tabia ya udokozi watafute kazi halali za kuwaingizia kipato".
Kwa upande wake, Dada wa marehemu, Angella Mushi amesema kifo cha ndugu yake kimewaacha na maswali mengi kwa kuwa maelezo waliyoyapata polisi kuhusiana na kifo hicho yana utata.
"Mtu yuko mahabusu, tunaambiwa amejinyonga na dekio, tunajiuliza hilo dekio mpaka achane apate kamba ya kujitundika, lilikuwa ngumu kiasi gani? Lakini pia tunaambiwa kabla ya kujinyonga alijikata kwenye koromeo na wembe na wakampeleka hospitali, sasa swali la kujiuluza ni kwamba aliwezaje kuingia mahabusu akiwa na wembe? alihoji dada wa marehemu.
"Lakini pia tunaambiwa alijaribu kujiua kwa kujikata na kiwembe, sasa tunajiuliza kama mtu alishajaribu tukio la kujiua walimrudishaje kwenye chumba chenye mazingira hatarishi? bado familia tuna maswali, lakini tunajua hatuwezi kushindana na serikali, ila tukio kama hili wakati mwingine linahitaji umakini," amesema
Awali, bibi wa marehemu, Agness Mahenge, Mkazi wa Kata ya Miembeni, Manispaa ya Moshi, amesema yeye alipata taarifa za kifo cha mjukuu wake Septemba 13, 2022 saa 7 mchana kutoka kwa mwanae anayefanya kazi stendi kuu ya mabasi mjini Moshi.
"Nilipigiwa simu na mwanangu ambaye ni mama mdogo wa marehemu, akinipa taarifa za kifo cha mjukuu wangu, alinieleza taarifa alizopewa ni kwamba marehemu alijikata kwenye koromeo na wembe ambapo alipelekwa hospitali ya Mawenzi kutibiwa na kurudishwa mahabusu," amesema
"Wanasema baada ya kurudishwa kituoni, aliingizwa chumba cha mahabusu na saa 8:00 usiku alijinyonga kwa tambara la dekio.
"Wanadai walitutafuta ndugu na hawakutupata kwa kuwa marehemu katika maelezo yake polisi aliandika hana ndugu na anaishi Njoro sokoni na ndiyo maana waliita uongozi wa mtaa huo kufika kuutambua mwili," amesema
Chanzo: Mwananchi
Hajajiua huyo niamini mimi[emoji848]Hivi wanaojiua huwa hawafikirii kuna chance za kula kimasihara[emoji16]
Usipende kuhukumu mtu haraka haraka kwa maelezo ya upande mmoja.Ilo jeshi sio la kuamini sana.Jikumbushe kile kisa cha yule mfanyabiashara wa madini tuliyeambiwa naye alikua mwizi na akajinyonga kwa dekio.nini kilitokea badae.Seema r.i.p kak jambazi ujasiki police walimkuta na computer mpakato na simu za wizi sas ndio uzuri gani huyu kibaka hpn atupishe kdg na tozo zetu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jeshi la polisi linahitaji reform ya hali ya juu, mission zao nyingi ni very questionable, hakuna mahala wanaweza kutekeleza mission isiache maswali tata!!Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Taarifa zilizotolewa na ndugu wa marehemu, zanadai kabla ya kujinyonga, alijaribu kujiua kwa kujikata kwenye koromeo na wembe akiwa mahabusu.
Hata hivyo, askari walimuwahi na kumpeleka hospitali kwa matibabu na aliporudishwa ndipo usiku alijinyonga.
Akizungumza leo Jumatano Septemba 14, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mwenyekiti wa Mtaa wa Njoro Sokoni, Rabia Lema alikokuwa akiishi marehemu, amesema marehemu alikamatwa Septemba 10, 2022 na kufikishwa kituoni hapo ambapo alikuwa akituhumiwa kuiba simu ya mkononi na kompyuta mpakato.
Lema amesema alipigiwa simu usiku wa kuamkia Septemba 13,2022 na askari akitakiwa kufika kituo cha Polisi Kati mjini Moshi akiambiwa kuna tatizo la mahabusu kujinyonga na katika maelezo yake aliandika anaishi Njoro Sokoni.
"Ilikuwa saa 9:43 usiku, tulipopigiwa simu, tulienda kituoni na baadhi ya wajumbe wa serikaki ya mtaa na polisi jamii, tulipelekwa chumba cha mahabusu, tulikuta wengine wamelala, tukaingizwa chooni, tukakuta kweli mtu ananing'inia amejinyonga kwa dekio na baada ya kumuangalia nilimtambua," amesema
Amesema, "na nilipofuatilia nikaambiwa alikuwa amepelekwa Polisi akituhumiwa kwa wizi wa simu na kompyuta mpakato, nilikuwa sifahamu ndugu zake na nililazimika kuomba vijana waliokuwa nae mtaani hapa wasaidie ili ndugu wapatikane. Nitoe pole kwa familia, na niwasihi vijana waachane na tabia ya udokozi watafute kazi halali za kuwaingizia kipato".
Kwa upande wake, Dada wa marehemu, Angella Mushi amesema kifo cha ndugu yake kimewaacha na maswali mengi kwa kuwa maelezo waliyoyapata polisi kuhusiana na kifo hicho yana utata.
"Mtu yuko mahabusu, tunaambiwa amejinyonga na dekio, tunajiuliza hilo dekio mpaka achane apate kamba ya kujitundika, lilikuwa ngumu kiasi gani? Lakini pia tunaambiwa kabla ya kujinyonga alijikata kwenye koromeo na wembe na wakampeleka hospitali, sasa swali la kujiuluza ni kwamba aliwezaje kuingia mahabusu akiwa na wembe? alihoji dada wa marehemu.
"Lakini pia tunaambiwa alijaribu kujiua kwa kujikata na kiwembe, sasa tunajiuliza kama mtu alishajaribu tukio la kujiua walimrudishaje kwenye chumba chenye mazingira hatarishi? bado familia tuna maswali, lakini tunajua hatuwezi kushindana na serikali, ila tukio kama hili wakati mwingine linahitaji umakini," amesema
Awali, bibi wa marehemu, Agness Mahenge, Mkazi wa Kata ya Miembeni, Manispaa ya Moshi, amesema yeye alipata taarifa za kifo cha mjukuu wake Septemba 13, 2022 saa 7 mchana kutoka kwa mwanae anayefanya kazi stendi kuu ya mabasi mjini Moshi.
"Nilipigiwa simu na mwanangu ambaye ni mama mdogo wa marehemu, akinipa taarifa za kifo cha mjukuu wangu, alinieleza taarifa alizopewa ni kwamba marehemu alijikata kwenye koromeo na wembe ambapo alipelekwa hospitali ya Mawenzi kutibiwa na kurudishwa mahabusu," amesema
"Wanasema baada ya kurudishwa kituoni, aliingizwa chumba cha mahabusu na saa 8:00 usiku alijinyonga kwa tambara la dekio.
"Wanadai walitutafuta ndugu na hawakutupata kwa kuwa marehemu katika maelezo yake polisi aliandika hana ndugu na anaishi Njoro sokoni na ndiyo maana waliita uongozi wa mtaa huo kufika kuutambua mwili," amesema
Chanzo: Mwananchi
Ni popoma pekee ndiye atakaye amini haya maigizo.Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Kiufupi huu mwaka ni mbaya kuanzia ajali ,wivu wa mapenzi na kujitoa mhangaAisee hadi naogopa.
Hili pepo la kujitoa uhai linipitie kushoto.
Sawa ngoja nikuamini ila nakua kama Tomaso mpka ushahidi😂Hajajiua huyo niamini mimi[emoji848]