Kijana adaiwa kujinyonga akiwa Kituo cha Polisi Moshi. Familia yang'aka

Hivi wanaojiua huwa hawafikirii kuna chance za kula kimasihara😁
 
Eti dekio, kwa lugha rahisi ni tambala lililooza limemnyonga mtu hadi kafa bila kukatika na huko mahabusu alikuwa pekeyake maana moshi nzima saivi wameokoka
Bila kusahau alijinyongea chooni
 
Akili za polisi wa Tanzania shida tupu,mahabusu anajinyonga chooni!,mahabusu wengine wamelala!kujinyonga sio Swala la kimya,sio Sawa na kunywa sumu!
Tambala la deki ni gumu kiasi gani kuweza kumninginiza mtu dirishani?
 
Mara ya pili hii kusikia taarifa za mahabusu kujinyonga kwa dekio...

Bongo kweli nyoso
 
Karne hii na hela zote wanazopewa bado wanatumia dekio
Hii sio Mara ya kwanza mahabusu eti kujinyonga na dekio
Sasa mkuu wa police kwanini hakupiga marufuku madekia na kupeleka Mop
Na je kwanini dekio likae mahabusu na sio nje?
Wao wanaona sisi ni waiinga kuamini haya
Majibu hayatakuwa tunayotarajia ila vijana mjipange sasa kwa maisha tofauti
Nasubiri panya road
 
Duh! Watu wanajiua sana siku hizi kuna mmoja mkoa fulani alijichoma kwa singe kwenye kichogo ikatokeza kwa mbele akafa, mwengine alijivunja shingo , kuna mwengine alijipiga mpaka kujiua hao woote wan historia mbovu kwa jamii na huyu naye kajinyonga kwa dekio .

Rai yangu.
Tumuogope mungu tuache kujiua maana ni dhambi kubwano.
 
Sio wamempa kipondo mpaka akakata moto?

Hawa mapolisi hawa mmmh[emoji848]
 
Seema r.i.p kak jambazi ujasiki police walimkuta na computer mpakato na simu za wizi sas ndio uzuri gani huyu kibaka hpn atupishe kdg na tozo zetu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usipende kuhukumu mtu haraka haraka kwa maelezo ya upande mmoja.Ilo jeshi sio la kuamini sana.Jikumbushe kile kisa cha yule mfanyabiashara wa madini tuliyeambiwa naye alikua mwizi na akajinyonga kwa dekio.nini kilitokea badae.
 
Jeshi la polisi linahitaji reform ya hali ya juu, mission zao nyingi ni very questionable, hakuna mahala wanaweza kutekeleza mission isiache maswali tata!!

Hata hivyo kwa mwizi kama huyo ilitakiwa ifanyike very smooth mission atendwe bila kuacha maswali kama hayo yanayoibuliwa sasa!!
 
Ni popoma pekee ndiye atakaye amini haya maigizo.
 
Navyolijua mm dekio aliwez kumtoa uhai mtoto shabab wa kiume mwenye kilo zaidi ya 45....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…